Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

Uamkapo asubuhi kama unaweza chemsha asali vijiko vikubwa vitatu au vinnee kwenye maji yanayotosheleza kikombe kimoja unywe na kwenye diet yako usikose mayai ya kware unaweaza tembelea website hii hapa wives connection: Why You Desperately Need Quail Eggs
au Bofya hapa kwa manufaa ya kware. Punguza vyakula vya wanga ( kama ugali, ila kula wa donna, wali. pasta, chips marufuku mpaka baada ya miezi mitatu unaweza kuwa unatupia) na fanya mazoezi kwa kuanzia hata kutembea dakika 15 kwa haraka.
 
Uamkapo asubuhi kama unaweza chemsha asali vijiko vikubwa vitatu au vinnee kwenye maji yanayotosheleza kikombe kimoja unywe na kwenye diet yako usikose mayai ya kware unaweaza tembelea website hii hapa wives connection: Why You Desperately Need Quail Eggs
au Bofya hapa kwa manufaa ya kware. Punguza vyakula vya wanga ( kama ugali, ila kula wa donna, wali. pasta, chips marufuku mpaka baada ya miezi mitatu unaweza kuwa unatupia) na fanya mazoezi kwa kuanzia hata kutembea dakika 15 kwa haraka.

Asante kwa ushaur
 
Habari wana ndugu.
mimi ni mama mwenye watoto wawili na tangu nijifungue mtoto wangu wa pili mwaja juzi nimeongezeka mwili na nahitaji kupata msaada wa kupungua. hivi zile dawa za kimasai za kupunguza unene zinapatikana wapi na hazina madhara yoyote? nahitaji sana kuzipata.asanteni
 
Wakuu shikamooni, naitwa cate(25) nina husband to be mmoja tu naombeni msaada kwa ushauri napenda kua mwembamba ili nipendeze kwenye harusi yangu je nifanye nn au nile vyakula vya haina gani kufanikisha?
 
TUMIA MIMEA HII KWA MATOKEO YA HARAKA NA SALAMA.1CASSIA ANGUSTIFOLIA 2 TEPHROSIA PURPUREA 3 TERMINALIA CHEBULA 4.ZINGIBER ZERUMBET 5 CURCUMA LONGA AU CURCUMA ZEDOARIA 6 AZADIRACHTA INDICA
CHAI YA MIMEA HII INAFANYA MIUJIZA KWENYE WEIGHT LOSS BILA KUATHIRI LEAN MUSCLES KAMA HUWEZI PATA MIMEA HII WASILIANA NA MTU PORI ATAKUTAFUTIA 0716 60 99 :llama:16


Naona kama umeandika kitesalonike, kwa huku nyasa mwambaoni ni mtihani mtupu
 
Bibie FirstLady1 Apple Cider Vinegar ipo kwenye Maduka Makubwa ya Super Market nenda kaulize utapata huko. Upate Kama hii hapa angalia picha hapo.


attachment.php

Mkuu hii nana unakunywa kijiko kimoja au kikombe?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu.@amina mabata hii nanaa unakunywa kijiko kimoja au kikombe?
Kwanza hiyo uliyoweka hapo sio Nanaa hiyo ni siki ya Tufaha (Apple Cider Vinegar) Nanaa ni Majani kwa lugha ya kiingereza inaitwa (mint) angalia picha hapo chini unahemsha na kunywa maji yake. Na hiyo Siki ya Tufaha (Apple Cider Vinegar) unachukuwa vijiko 2

unachanganya na kwenye Glasi 1 ya maji unakunywa asubuhi kabla ya kula kitu au unaweza kula pamoja na chakula unaweza kula asubuhi na jioni kama ni mnene
kama unataka Dawa

yakupunguza uzito kwa haraka dawa ninayo unatukula kila siku vidonge 2 asubuhi na jioni kwa muda wa miezi 6 utakuwa unapunguwa kila mwezi kilo 4 haina miko dawa yangu unaweza kula

chakula chochote utakacho kula huku unakula dawa yangu pasipo na matatizo utapunguwa kila mwisho wa mwezi kilo 4 Dawa yangu hii Bonyeza hapa
. DAWA YA KUPUNGUZA UNENE MAFUTA NA TUMBO


Dawa ya kupunguza Unene, Mafuta,na Tumbo inaitwa FITOFORM PLUS+. Ni chupa 6 kila chupa


kuna Vidonge 90 unakula kila siku kidonge 1 Asubuhi kidonge 1 Mchana kidonge 1 Usiku


kwa muda wa miezi 6 utapungukiwa kila Mwezi kilo 4 Mwilini mwako Bei yake ni dollar 330.


Ni Dawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa utalaam wa kisasa Vidonge (Capsule) na haina madhara kwa binadamu ukihitaji wasiliana na mimi kwa njia ya Email Baruwa ya pepe Email yangu hii hapa
Fewgoodman@hotmail.com
attachment.php


Majani ya Nanaa au kwa Kiingereza yanaitwa kwa jina hili (
mint leaf) hayo majani ya Nanaa yanapatikana Sokoni kisutu au kwenye maduka makubwa ya Maduka yaSuper Market kaulize utapata huko unaweza kupata majani pia makavu sio mbaya pia.






 

Attachments

  • Mint.jpg
    Mint.jpg
    460.5 KB · Views: 796
Back
Top Bottom