Dawa mpya ya kuongeza nguvu za kiume

Mimi hata ingekuwa ni ya kumeza siitaji hata kwa dawa,ni bora kuwa goi goi kuliko maana utajiepusha na mengi,kuliko kuanza kupaka hayo ma cream yao.

Unaweza kupaka halafu baada ya siku mbili ngoma inaanza kuoza ndani kwa ndani...!
 

Ngozi ya uume iko highly supplied with blood vessels, hivyo ukipaka dawa yenye formulation inayotakiwa, itaenda kwenye damu itazunguka weee then itafika inakotakiwa kufanya kazi...it wont take long mzunguko kufikia kwenye penis circulation. Baada ya muda gani dawa itakuwa effective kunyanyua uume, hiyo inategemea na aina ya dawa...ikiwa fasta hewala!!!!
 
nyie wanaume mnahitaji hizo dawa za nini? Ndio mwanzo wa kupata maradhi manake ikisimama sana ni lazima utembee na mwanamke bila kinga then kinachotokea mnajua na maradhi..............
 
Duniani kuna mambo!Wanawake wanahaha kuongeza matiti na makalio,wanaume wanahaha kuongeza nguvu za kiume na kuemlarge na kustreghthen theirb penis.nashauri wanawake waanze nao kuenlarge zao ili kuendana na speed
 
Guys mind you there has never been a plant/herbal that can help instant erection.There is only one chemica available which can sustain erection and........after all
most of you are not married,and info about this can only be given to the maried couple only.How ever if you are sure that you live in a marrige lock contact me ,here.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…