Dawa mpya ya kuongeza nguvu za kiume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa mpya ya kuongeza nguvu za kiume

Discussion in 'JF Doctor' started by Bao3, Sep 23, 2009.

 1. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wanasayansi nchini Marekani wamevumbua dawa mpya ya kuongeza nguvu za kiume kama losheni inayopakwa kwenye uume na wamesema kuwa dawa hiyo mpya haina madhara yoyote mwilini na huanza kufanya kazi sekunde chache baada ya kupakwa kwenye uume. http://nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=3159994&&Cat=7
   
 2. m

  mpangwa1 JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2009
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hivi nikipimo kipi kitakufanya ujue wewe ni below standard and you need a booster, I mean mabao mangapi kwa saa, siku, wiki au mwezi?
   
 3. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mbona wachina waligundua zamani sana.....inaitwa "chinese brush"...inaongeza nguvu za kiume....google it...its very cheap!>....
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Sep 23, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  When you can't maintain your erection for the duration of intercourse that's when you know you need some of that tadalafil....

  Sasa hii dawa ya kupaka sounds to me like it's just a gimmick kwa sababu kinachosababisha erectile dysfunction ni kuziba kwa mishipa inayo pump damu kwenye penis na kazi ya viagra, cialis, au levitra ni kufungua hiyo mishipa ili kuwezesha damu ku flow huko kwenye uume.

  Sasa dawa ya kupaka itafunguaje hiyo mishipa? I'm curious...
   
 5. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kupaka haimanishi that the active ingredients zitabaki nje!!.. Kupaka ni njia mojawapo ya kuifikisha dawa kunakohusika... Active ingredients zinaingia kupitia skin then zinadiffuse kwenye blood flow na kufanya kazi inayotakiwa!!! Wanaposema kufungua mishipa si km kuzibua mifereji...
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Sep 24, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Dawa gani hiyo ya kupaka inayoanza kufanya kazi mara moja? Yaani unapaka tu tayari kitu kinawika....Tell me the science behind it Mr./Ms. Scientist...
   
 7. M

  Magehema JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2009
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwani hidho nguvu dha kiume unadhitumia kufanya nini?
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Sep 24, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,476
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  hayo mambo ya kupaka wameeleza madhara yake? unaweza ukapaka kunako uume na kitu kisiwike, sioni uhusiano wowote wa kisayansi uliopo kati ya kupaka na uume kuwika. Mambo yote Mkuyati mzee!!!!!!!!!
   
 9. J

  JackieJoki Member

  #9
  Sep 24, 2009
  Joined: Sep 24, 2009
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  St. Botanica Butea Gel


  • The Gel application helps in penis enlargement
  • St. Botanica Butea Gel helps in curing weak erection
  • Regular use of the Gel can help achieving stronger and fuller erection for longer duration.
  • It helps in delaying foreplays by retaining orgasm.
  Containing natural flavonoids and flavonoid glycosine, St. Botanica Butea superba (Red Kwao Krua) gel helps getting the male organ a special lift i.e. enhancing erectile function and simultaneously revitalizing the flagging sexual performance. The herb Butea superba carries natural aphrodisiac properties that is said to restore the vitality of manhood by offering self-confidence and sexual prowess.
  St. Botanica Butea Gel is a supreme mixture of special herbal extracts, with its main ingredient Butea superba (Red Kwao Krua), an herb that has been used for curing male sexual problem, especially erectile dysfunction since centuries.
  Regular use of St. Botanica Butea Gel helps to maintain sexual vigor in men, and acts as an elixir for male sex problems. The Butea Gel can help getting stronger and longer erections that is required to satisfactorily complete sexual acts.
  Many men have added zip to their sexual lives and have boosted self-confidence using the Gel.
  St. Botanica Butea Gel is an all natural product without any side or harmful effects reported.
  Ingredients:
  Butea Superba and other tropical herbal extracts.
  Direction:
  Apply the gel once in the morning and once in the night. Gel is to be applied throughout the penis from base to its glance until the gel is fully absorbed.
  Precautions:
  Stop applying immediately if rash occurs. Rinse off with a plenty of water.
   
 10. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kinacosababisha oral tablets zichukue muda kufanya kazi ni ile route inayopita,its a bit long.kwanza kidisintergate,kisha kidisolvena kiwe absorbed into blood stream halafu dawa husika isafirishwe mpaka katika hiyo mishipa inayohitaji kutanuliwa ile jogoo awike.Sasa wanachofanya wanasayansi ni kutafuta a shortcut route,yaani kwa mfano dawa inawezaje kufika katika hiyo mishipa bila ya kupitia huo mlolongo mzima.


  Sasa kwa hiyo dawa inayoongelewa,kwanza kama ni ya kupaka inaweza kuwa katika solution form hivyo ikifika katika mishipa husika ni kuchapa kazi tuu kwa kwenda mbele.Unachoweza kufanya ni kuiweka katika vehicle ambayo itaweza kuisafirisha through the skin hivyo kufika katika mishipa ya damu moja kwa moja,na fat soluble vehicles are very good at this,kinachotkiwa ni dawa husika kuwa fat soluble also.

  Ulishawahi kujiuliza ni kwanini sublingal nifedipine inashusha preessure haraka ukilinganisha na oral nifedipine!Ni kwa sababu sublingal nifedipine inaenda moja kwa moja katika damu na kuanza kuchapa kazi.Na ukijaribu kuangalia kwa makini utagundua dawa ni zile zile kinachobadilika ni formulations za dawa husika.Leo kidonge,kesho lotion,keshokutwa solution ili mradi wapate kuipata pesa yako kwa urahisi.
   
 11. F

  FOE Member

  #11
  Sep 24, 2009
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nasikia wanawake wengine wamejaaliwa wetness. Unaweza ukapaka ukafika pale ile wetness ikaosha dawa yooote!!! Just curious.
   
 12. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kitendo cha kuwika kwa jogoo lako inamaanisha dawa imeshafika katika mzunguko wa damu,sasa kama hiyo wetness itaweza kuosha mpaka dawa iliyopo katika mzunguko wa damu basi hiyo ni balaa.
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Sep 24, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  That supposed new medicine is nothing but a gimmick just like the likes of Spanish Fly and the likes. The blood streams that supply the blood to the penis are deep inside the shaft. They can't be instantly reached by just rubbing some ointment on the outer surface of the shaft and immediately start working.

  The only erectile dysfunction medicines to do the trick so far are Viagra, Cialis, and Levitra which take roughly about 30 minutes to kick in.

  So mark my words, this so called new drug is a gimmick and you won't hear anymore of it.
   
 14. m

  muhanga JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2009
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mh! hayo ya ugunduzi yaambatane na ugunduzi wa CONDOMS za ngozi ngumu maana za plastiki zaweka kuchanika! ukimwi nao jamani, yetu macho!
  mbona kuna dawa za kupaka makalio tu yajavimbiana hadi yanamwagika kwenye chupi sembuse huo uume kusimama na baade kulala tena! haya watumiaji kazi kwenu
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Sep 24, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Hapo chini ndiyo habari yenyewe ati. Na hiyo dawa haina jina kwa hiyo imeitwa "Viagra mpya". Nilidhania "Viagra" ni brand name kumbe kila dawa ya kuongeza nguvu za kiume initwa "Viagra" Lol....I learn new things everyday..Lol....Habari yenyewe haina nukuu wala jina la mtaalam au wataalam waliohusika na huo unaodaiwa kuwa uvumbuzi. Sasa sijui tatizo ni waandishi wa bongo au nini. Halafu mijitu humu na akili zao inanunua habari kama hizi.

  Wanasayansi Wavumbua Viagra Mpya ya Kupaka
  [​IMG]
  Vidonge vya Viagra Wednesday, September 23, 2009 8:17 AM
  Wanasayansi nchini Marekani wamevumbua dawa mpya ya kuongeza nguvu za kiume kama losheni inayopakwa kwenye uume na wamesema kuwa dawa hiyo mpya haina madhara yoyote mwilini na huanza kufanya kazi sekunde chache baada ya kupakwa kwenye uume.Tofauti na vidonge vya kuongeza nguvu za kiume aina ya viagra ambavyo husababisha madhara mwilini, wanasayansi wamevumbua dawa mpya ya kuongeza nguvu za kiume ambayo hupakwa kwenye uume na haina madhara yoyote mwilini.

  Viagra hiyo mpya ambayo ipo kama losheni imeonyesha mafanikio na huanza kufanya kazi sekunde chache baada ya kupakwa kwenye uume tofauti na vidonge vya Viagra ambavyo baada ya kumezwa mwanaume hulazimika kusubiri nusu saa ndio shughuli ianze.

  Matatizo ya kutosimama vyema kwa uume huwatokea wanaume wengi duniani huku takwimu zikionyesha kuwa mwanaume mmoja katika kila wanaume 10 nchini Uingereza anakabiliwa na tatizo hilo wakati nchini Australia hali ni mbaya zaidi kwani mwanaume mmoja katika kila wanaume watano anakabiliwa na tatizo hilo.

  Vidonge vya viagra humsaidia mwanaume kuwa na ufanisi zaidi kitandani kwa kuifanya mishipa ya damu itanuke na kupelekea kuongezeka kwa mzunguko wa damu mwilini.

  Viagra huifanikisha hali hiyo kwa kuvizuia vimeng'enyo vya phosphodiesterase type 5 kufanya kazi zake hali ambayo husababisha madhara mbali mbali mwilini kama vile maumivu ya kichwa, matatizo ya macho, ubongo na matatizo mengine makubwa mwilini.

  Lakini dawa hii mpya ya kuongeza nguvu za kiume iliyovumbuliwa na wanasayansi toka chuo kikuu cha Yeshiva University, New York, haina madhara yoyote na ilionyesha mafanikio makubwa ya hapo hapo ilipotumiwa.

  Katika majaribio waliyofanyiwa panya, viagra hiyo mpya ilionyesha mafanikio makubwa kwa panya tisa kati ya kumi waliofanyiwa majaribio.

  Wanasayansi walisema kuwa matokeo ya majaribio hayo kwa panya hayawezi kutofautiana na matokeo ya majaribio hayo kwa binadamu
   
 16. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Any way mkulu,suala la kwamba inaweza kufanya kazi within seconds siwezi kukuhakikishia kwamba linawezekana ingawa simaanisha kwamba haiwezekani.Ila suala la kufanya kazi katika muda pungufu ya hizo dakika 30,I can assure you its possible,tena hata pungufu ya dakika kumi.Unaonaje ukienda kununua kisha tukapaata majibu kutoka kwako.
   
 17. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kumbe bado iko katika trials,tena on animals.Mi nilifikiri iko sokoni.Any way lets wait and see.
   
 18. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #18
  Sep 24, 2009
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mimi hata ingekuwa ni ya kumeza siitaji hata kwa dawa,ni bora kuwa goi goi kuliko maana utajiepusha na mengi,kuliko kuanza kupaka hayo ma cream yao.
   
 19. m

  muhanga JF-Expert Member

  #19
  Sep 24, 2009
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  labda zinatumika kulimia mashamba ya viwanja vya bondeni! heheheeee:p:p:rolleyes:
   
 20. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #20
  Sep 24, 2009
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Mhhhh....Je ukikosea ukapaka nyuma inakuwaje hapo[​IMG]
   
Loading...