Dawa kwa ajili ya Kisukari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa kwa ajili ya Kisukari?

Discussion in 'JF Doctor' started by Mbogela, Aug 23, 2009.

 1. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2009
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Mkuu mheshiwa JF Doctors,
  Nimeambiwa kuwa mgonjwa wa Kisukari (Diabetes Mellitus) Type I anahitaji kupewa dawa kwa kuchomwa sindano ya Insulini mara kwa mara. Shida yangu ni kuwa kuna minong'ono inasema kuwa dawa hii hutokana na insulin ya Nguruwe. Swali langu kwenu Je ni kweli? Na kama ni kweli na kama ni kweli wagonjwa huambiwa asili ya hii dawa kabla hawajapewa kutumia? Na kama nimeambiwa na mimi nikiamua kuikataa (kwasababu zangu mwenyewe nje ya sabababu za kiafya km Vile za kidini) Je kuna tiba mbadala?
   
 2. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2009
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kama unaumwa kweli nakushauri unywe dawa as long as wataalam wamethibitisha ibora wake. By the way kimtiacho mtu najisi hutoka ndani mwake.
   
 3. K

  Konzogwe JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 441
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Hicho kisukari ni life style desease,hivyo unaweza kupona kwa change in lifestyle.Kawaida excessive fat in blood stream leads to terminate proper sensitivity of insullin (pancrease hormone which regulates sugar standards).
  Mimi nimesaidia watu wengi wenye tatizo hilo kwa kutumia simple remedies (herbs).Hata UKIMWI,nimesaidia watu kwa njia ya ku feed virus by more sucrose hence free cell cunsuption,add cd4 by certain herbs,be total vegetarian in order to avoid amino acids where they can multiplicate.This deal lead virus to die by its life span which is no longer than 3yrs.
   
 4. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2009
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Asante lakini kabla sijaenda kwenye second option je ni kweli source ya insulin itumikayo kwenye matibabu inatokana na insulin ya Nguruwe? Pia nasikia Mbona Diabetes Mellitus Type I hawezi kutibiwa/kurekebishwa kwa kubadiri life style na diet?
   
Loading...