Dawa gani ya Mafua nitumie?

NICK2275

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
3,930
919
Wakuu msaada.

Nilikuwa na mafua then sijatumia dawa na yakachelewa kupona na pia huwa nilkua napenga kwa nguvu na kulazimisha hadi nikapata kidonda puani.

Kwa sasa kidonda kimepona na mafua yamepungua kwa asilimia 70, nataka dawa gani nitumie ili niachane na swala hili la mafua mana kuna saa sometimes asubuhi,au mchana au usiku yanarud na kupotea au nikishakunywa bia 2/3 yanarudi,nipeni suluhisho la kuyatuliza kabisa
 
ngoja kesho watakuja wakiamka.alaf jaribu kuandika kwa herufi ndogo bna sisi hatuna macho mabovu asee mierufi gani hyo unatuandikia??
 
Wakuu msaada,nilikua na mafua then sijatumia dawa na yakachelewa kupona na pia huwa nilkua napenga kwa nguvu na kulazimisha hadi nikapata kidonda puani,kwa sasa kidobda kimepona na mafua yamepungua kwa asilimia 70,nataka dawa gani nitumie ili niachane na swala hili la mafua mana kuna saa sometimes asubuhi,au mchana au usiku yanarud na kupotea au nikishakunywa bia 2/3 yanarudi,nipeni suluhisho la kuyatuliza kabisa
Dawa ya kwanza mbona ushaijua...acha bia.Baridi ina mchango mkubwa wa kufanya shida ya mafua kuwa kubwa.

Tumia vinywaji vya moto mfano maji ya moto tia na chumvi kiasi ,unaweza kuyatumia kwa kunywa na pia kujisukutua endapo Mafua yatakuwa yameathiri koo,upande wa pua Tumia maji hayo kujikanda pua kwa kutumia kitambaa laini cha Pamba na dondoshea matone mawili kila tundu la pua baada ya zoezi hilo.

Dawa za hospital zipo nyingi tu;mfano ni Celestamine,cetrizine ,loratadine ,
Chloropheniramine etc.
 
Dawa ya kwanza mbona ushaijua...acha bia.Baridi ina mchango mkubwa wa kufanya shida ya mafua kuwa kubwa,Tumia vinywaji vya moto mfano maji ya moto tia na chumvi kiasi ,unaweza kuyatumia kwa kunywa na pia kujisukutua endapo Mafua yatakuwa yameathiri koo,upande wa pua Tumia maji hayo kujikanda pua kwa kutumia kitambaa laini cha Pamba na dondoshea matone mawili kila tundu la pua baada ya zoezi hilo.
Dawa za hospital zipo nyingi tu;mfano ni Celestamine,cetrizine ,loratadine ,
Chloropheniramine etc.
thanks,ngoja nijaribu hii ya maji na chumvi
 
Wakuu msaada,nilikua na mafua then sijatumia dawa na yakachelewa kupona na pia huwa nilkua napenga kwa nguvu na kulazimisha hadi nikapata kidonda puani,kwa sasa kidobda kimepona na mafua yamepungua kwa asilimia 70,nataka dawa gani nitumie ili niachane na swala hili la mafua mana kuna saa sometimes asubuhi,au mchana au usiku yanarud na kupotea au nikishakunywa bia 2/3 yanarudi,nipeni suluhisho la kuyatuliza kabisa
ACHA BIA;KUNYWA JUIS YA LIMAO
 
Back
Top Bottom