Ili kujua tabia ya bintiye na asije shangaa mbona hawako pamoja.sasa sababu ya kumtumia baba ake hio clip ni nini?? Kwani yeye aliituma kwa mama wa huyo jamaa yako??!!!
haya. now unagundua, usifanye kama huyo
siwezi fanya hivyo bora kugoogle nikutumie kuliko kukutumia real sing of mine
i have it in so when u ask i just send to yousame trick is used,,,,,,,,??? bt u sure una google muda wote?
ili kujua tabia ya bintiye na asije shangaa mbona hawako pamoja.
Anyway na huyo binti kwa nini alituma hiyo video kwa x wake?
Hii imemtokea jamaa wangu wa karibu, walikuwa katika mahisiano takriban miaka miwili.
Baadae ilikuja kugundulika mwanamke ni mchepukaji, anagawa penzi kwa vidume wengine.
Muda siyo mrefu jamaa akaamua kumpiga demu chini.
Kitendo cha huyu demu kupigwa chini na mshkaji kilimuuma sana na baada ya wiki moja demu akaamua kutengeneza video akiwa na mchepuko wake kisha akamtumia mchizi wangu hiyo Clip.
Jamaa hili jambo lilimuumiza sana na ile clip alinionyesha namna demu alivyokuwa anakazwa huku akiamriwa na huyo mchepuko wake aropoke maneno ya kumtusi jamaa wangu wakati wanasex.
Jamaa aliniambia nimshauri nini cha kumfanyia huyo demu wake nikamwambia hiyo clip ingekuwa vyema ukamuonyeshe babaake mzazi maana mlishatambulishana kwa wazazi wake na wanayo taarifa kuwa mna mipango ya kufunga ndoa.
Jamaa aliniambia hakuwa na sababu ya kuchoma mafuta mpaka kwa wazazi wake ilhali hategemei kurudiana na huyo demu wake, kimasikhara jamaa aliituma Whatsapp kwa baba mzazi wa msichana bila ajizi.
Mpaka sasa sijajua kilichoendelea huko.
Wanawake kuweni makini siyo kila mwanaume utaweza kumdhalilisha akakuvumilia.
very trueUtovu wa nidhamu.huyo uliyemtumia huo uchafu ni baba yako.kosa la mwanaye linamuhusu vipi mzazi?!kwani unafikiri baba yake hajui binti yake anagegedwa?! uamuzi mbovu sana kuwahi kuusikia
i have it in so when u ask i just send to you
hawa wanaume wa dar kazi kweli kweli kazi kula viepe akili hamna tena
sasa kumtumia baba yake mzazi ni upungufu wa akili huo ,, wote walikuwa hawana akili....... walikutana kama hupendwi hata ufanyaje hutapendwa
ha hahaha sawa mkuualiyeuza cheni ya bandia kapewa hela bandia. kuwa makini, maana ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu
ha hahaha sawa mkuu
ndiyo nimechekeshwaunacheka kwa sauti sana,,,,
ndiyo nimechekeshwa
kweli kabisaunaeza kuona unapanda kumbe unavunwa, unaeza ona nimekuchekesha kumbe umenichekesha zaidi. lets chekaling tusahau our wrongs na shida zetu huh...
kweli kabisa
kila la heri aiseehaya ngoja wengine tuingie lindoni, sasa