Davis Mosha: Nitaifuta CHADEMA na masalia yake Moshi Mjini

Anaota mchana Moshi ni ngome ya Chadema atapoteza muda wake bure na Pesa zake
 
Aliyemloga kashakufa yaani badala ya kueleza sera zenye mashiko analeta sera za kuing'oa CHADEMA moshi mjini. Jamani wana siasa sisi wapiga kura tunataka sera mtupe vision zenu za kimaendeleo na sio siasa za maji taka

Mangi kama ndoto zako ndo hizo, wewe baki huko huko tarisalaam mekuu
 
huyu ukawa wakiingia ikulu wamfanyie special audit kama kweli analipa kodi stahiki,ukiona mfanyabiashara yumo ccm inabidi uwe na mashaka.

Mkuu kuna tuhuma huyu ndo anaeongoza kundi la wafanyabiashara wa malori kuu-sabotage mpango wa kuimarisha reli hapa nchini.. Leo ndo anataka aingie kwenye chombo cha kutunga sheria..!
 
Ni sawa na kuku tu akili yake,bdala ya kupambana na matatzo eti ATAPAMBANA NA Cdm.
Shame on D.Mosha
 
Sijaona mchaga ---- kama Davi Mosha, tajiri wa maji taka! Badala hueleze utatatua vipi kero za wananchi, wewe unalia na CDM utaiwezea wapi! Tena nakujua vizuri utaloga Sana na kuhonga juu na Ubunge hauupati, thubutu!!
 
Picha namba moja tu hapo kapiga na matapel! Huyo jamaa mwingine ukimuondoa le jingaz anaitwa jully ni tapel la siasa la kutupwa! Mosha umeingizwa cha kike mnama
Ukweli ni kwamba mtu pekee aliyekua na uwezo wa kuitoa chadema moshi ni mama minde kwa nguvu aliyokua nayo na sapot ya serikali davis mosha hawezi hakubaliki pia kapata ushindi kwa kuhonga wapiga kura
 
Labda angegombea kupitia Chadema,watu wamechoshwa na rangi ya kijani na njano(Nyinyi em)
 
Hah anashanangaza kwa miaka ishirini tu sasa hao ccfisadi wao wana miaka mingapi mbona wameshindwa kufanya la maana ambao wao. Miccfidadi ndio wanaongoza nchi kichekesho kikubwa mwandaazimu kuwa pilot
 
Huyo hana tofauti na Shekifu na Rage wapo kichama tu siyo kwaajli ya Wananchi bali ni masilahi yao tu na chama chao ndiyo maana wamepigwa chini.
 
Wamefanya juhudi kurudisha jimbo moja kwakutumia rasilimali nyingi mwishoni wanajikita wamempoteza majimbo mengi.Mwaka huu yatatokea hayo kwa wingi.
 
kuondoa utawala wa Chadema uliodumu kwa miaka 20 bila kuwa na la maana ndani ya Jimbo hilo.Katika hali ya kukijenga chama ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro

Kama haoni yaliyofanyika na kuufanya mji wa Moshi kuwa wa kwanza kwa usafi basi huyu hafai hata kuwa Mbunge. Anatakiwa kuongea atakayoyafanya siyo siasa za kugutana
 
Tunamsubri kwa matamanio tumpe kipigo cha mwaka, hizo hela anazofikiria kupigia kampeni bora akatoe mchango kwa watoto yatima.
 
Aligombea Udiwani kiborloni Akapigwa mapema tu.
Kwa Aibu aliondoka saa kumi usiku kurudi Dar,.
Sasa udiwani alishindwa ubunge ataupataje!!?
 
Picha namba moja tu hapo kapiga na matapel! Huyo jamaa mwingine ukimuondoa le jingaz anaitwa jully ni tapel la siasa la kutupwa! Mosha umeingizwa cha kike mnama

Hapo ndio utajua Mosha fata upepo kazungukwa na matapeli wa siasa siyo huyu anayejiita mfalme wa mitandao wakati ata hajawa verified account zake za Facebook wala Instagram wanamuongopea bure
 
Back
Top Bottom