Kumbe mweupe hivi kichwaniKada wa chama Cha mapinduzi na bilionea Davis Mosha amewaambia hayo Wananchi wa Moshi kuwa hata Kama hawakumchagua 2015 kwenye ubunge hatasita kutekeleza ahadi zake alizowapa kipindi hicho.
Pia Davis Mosha amewataka kuacha kufuata mkumbo wakuaminishwa kuwa Kilimanjaro Ni Upinzani hata iweje, Mosha amesema Kwa Kazi za serikali ya awamu ya Tano Ni dhahiri wanatakiwa kuichagua CCM
"Leo tumeletewa mpaka reli wafanyabiashara wa Moshi na Arusha wanafaidika kwa usafiri huu wa bei nafuu"
Mosha anaendelea na ziara yake mkoani Kilimanjaro.
Akae nazoKada wa chama Cha mapinduzi na bilionea Davis Mosha amewaambia hayo Wananchi wa Moshi kuwa hata Kama hawakumchagua 2015 kwenye ubunge hatasita kutekeleza ahadi zake alizowapa kipindi hicho.
Pia Davis Mosha amewataka kuacha kufuata mkumbo wakuaminishwa kuwa Kilimanjaro Ni Upinzani hata iweje, Mosha amesema Kwa Kazi za serikali ya awamu ya Tano Ni dhahiri wanatakiwa kuichagua CCM
"Leo tumeletewa mpaka reli wafanyabiashara wa Moshi na Arusha wanafaidika kwa usafiri huu wa bei nafuu"
Mosha anaendelea na ziara yake mkoani Kilimanjaro.
Acheni uongo eti bilionire??Kada wa chama Cha mapinduzi na bilionea Davis Mosha amewaambia hayo Wananchi wa Moshi kuwa hata Kama hawakumchagua 2015 kwenye ubunge hatasita kutekeleza ahadi zake alizowapa kipindi hicho.
Pia Davis Mosha amewataka kuacha kufuata mkumbo wakuaminishwa kuwa Kilimanjaro Ni Upinzani hata iweje, Mosha amesema Kwa Kazi za serikali ya awamu ya Tano Ni dhahiri wanatakiwa kuichagua CCM
"Leo tumeletewa mpaka reli wafanyabiashara wa Moshi na Arusha wanafaidika kwa usafiri huu wa bei nafuu"
Mosha anaendelea na ziara yake mkoani Kilimanjaro.
Kada wa ccm huyo unadhani wangemfanyaje mkuu wakati anakifadhili chamaHivi hii mambo iliishia wapi?View attachment 1605979
Ni kweli, Hii ni gear tu ya kurejea kwenye reliBiashara zake nyingi zilifungwa lazima ajisogeze sogeze
Yanaishaga hayo......Hivi hii mambo iliishia wapi?View attachment 1605979
Nilijua ni kama hizi msg za kubet.Yanaishaga hayo......
ama ww ulijua hayo matukio ni cement!?
Rushwa afu tume iko kimya tu tulieni watz tuwakatae 28Kada wa chama Cha mapinduzi na bilionea Davis Mosha amewaambia hayo Wananchi wa Moshi kuwa hata Kama hawakumchagua 2015 kwenye ubunge hatasita kutekeleza ahadi zake alizowapa kipindi hicho.
Pia Davis Mosha amewataka kuacha kufuata mkumbo wakuaminishwa kuwa Kilimanjaro Ni Upinzani hata iweje, Mosha amesema Kwa Kazi za serikali ya awamu ya Tano Ni dhahiri wanatakiwa kuichagua CCM
"Leo tumeletewa mpaka reli wafanyabiashara wa Moshi na Arusha wanafaidika kwa usafiri huu wa bei nafuu"
Mosha anaendelea na ziara yake mkoani Kilimanjaro.
Izo badaboda aziwekee mafuta kabisa,JPM keshashinda na mpaka sasa yupo ikulu anajenga nchi.
Mwambie hatumchagui magufuli wake au mtu yeyote wa Ccm yao. Kuna haja gani kupewa bodaboda huku ukinyanyaswa na traffic Kwa makesi na faini zisizoeleweka!! Mwaka huu watanzania tumeshaamua, tunamchagua tunamchagua Tundu Antiphas Lissu, liwake jua inyeshe mvua!!Kada wa chama Cha mapinduzi na bilionea Davis Mosha amewaambia hayo Wananchi wa Moshi kuwa hata Kama hawakumchagua 2015 kwenye ubunge hatasita kutekeleza ahadi zake alizowapa kipindi hicho.