Wewe Ndo Unaonekana Unapresha.Tunaomjua King Vizuri Uwa Afanyi Mambo Yake Kwa Kukurupuka.Siku Zote Anajua Nini Anachokifanya Kwa Kuangalia Malengo Na Faida Zake.Uwa Hafati Mkumbo Wa Sifa Na Maneno Mengi Ya Mashabiki Mburulaz.Kaa Mkao Wa Kunawa Usubir Kusikia King Anataka Kufanya.Acha Mapepe Kama Demu Kicheche Aliekosa Soko!