Wizkid ana bifu na Davido, kwa hiyo si unajua tena adui wa adui ni rafiki? Nimecheka sana nilipoona alikoamua kutokea Wizkid, na amefanya hivyo makusudi ili kumchoma Davido. Ila huyo Wizkid ndio nyoka haswa, pia ni mbaguzi sana, kwani usipokuwa half-caste kama nifah, hakupi nafasi ya kushiriki kama model wa video yake.
Alikwenda Ghana kushoot video yake alingozana na Boss wa record label yake Akon, na akakuta ameandaliwa wasichana weusi watupu, akawakataa na kuanza upya kutafuta wasichana wa kushiriki kwenye video yake, ambao aliwachukua walio half-caste na wale waliojichubua ngozi kwa mkorogo.
Ova
Wizkid ana bifu na Davido, kwa hiyo si unajua tena adui wa adui ni rafiki? Nimecheka sana nilipoona alikoamua kutokea Wizkid, na amefanya hivyo makusudi ili kumchoma Davido. Ila huyo Wizkid ndio nyoka haswa, pia ni mbaguzi sana, kwani usipokuwa half-caste kama nifah, hakupi nafasi ya kushiriki kama model wa video yake.
Alikwenda Ghana kushoot video yake alingozana na Boss wa record label yake Akon, na akakuta ameandaliwa wasichana weusi watupu, akawakataa na kuanza upya kutafuta wasichana wa kushiriki kwenye video yake, ambao aliwachukua walio half-caste na wale waliojichubua ngozi kwa mkorogo.
Ova
Hii issue niliisikia tena wanaija wakalalamika sana kwa nini hakuwepo model mweusi hata mmoja?
Je hakuna warembo weusi?
Hahahaaaa that half-caste thou.....
Watu watamtetea sana Davido lakini ukweli unabaki kua tweet yake ya mwanzo kabisa ilikua na negativity na alikusudia kutunanga wa-TZ alichofanya ni kucheza na akili zetu.
Binafsi nawaunga mkono wa-TZ wenzangu wanaojitoa kwenye utumwa wa kiakili wa kutotaka kuburuzwa na hawa wa-Nigeria,kama mtu anafuatilia vizuri trend ya hii saga atagundua uyu Davido ana chuki za waziwazi mfano recently post ya IG
View attachment 209375
Kama uta-read btn the line utagundua kua toka mwanzo alikusudia nini hata comments za Nigeria ziko na mtazamo hasi waziwazi.
Naona wengi wanalalama kuhusu matusi,siungi mkono matusi ila nashangaa wa-Tz wanavyolaumu upande mmoja kua Davido katukaniwa mama ake mnasahau kuna wa-Nigeria wanatutukania mama zetu bila uwoga utadhani mama zetu wote wapo hai na wengine hata uko IG hatujawahi ku-comment,tumeitwa baboons,gays,maskini,hatujasoma,we from the jungle alafu unataka watu wakae kimya kuna ambao hawawezi kuvumilia dharau acha watusaidie kutujibia katika lugha ambayo wao wanaitumia(matusi).
Wastaarabu huwa hawajibu wapumbavu na ndicho davido alichofanya kutoelaborate so aliwacha na upumbavu wenu.
All in all,mie siungi mkono matusi lakini nawashangaa watanzania kwa unafiki wenu!Wageni na watu wa mataifa wengine mnawaona bora kuliko nyie!!Davido hakufanya poa,mi sio shabiki wa dai ila dai ni mtz mwenzangu!Hell no we didn't cheat!so to speak alivo retweet dai ni sawa tu!!Matusi ya wanaija mmeyaona!wanavoponda mmeona?tukemee matusi sio kupindisha tweet ya davido!!Ha we can do better pia!!Go! Go! Tz...hata bila Davido Nassib angefanya poa!!Sipendi urafiki wao uishe ila rafiki yako akikuzingua kisa ni rafiki utakaa kimya kama kondoo?no unampa makavu na urafiki unasonga na adabu ndo inakuwepo sasa!
Shosti umeua!! You nailed it wanasema wenyewe!
Mbona povu hivo?? Mpumbavu ni nani sasa??
Kwa hiuo? Davido ni mpuuzi tu na madharau yake dume zima linaringia mali za baba yake.
Hehh hilo povu liko wapi? Waliotukana wote ni wapumbavu na wasuomuelewa na kukurupuka kumjudge davido wote ni wapumbavu. so kuutambua upumbavu huo davido ndo maana hakutoa maana ya post yake. Akawaacha watukane weeeee huku akijib,u tu "asante ubarikiwe" Umenielewa sasa?
Unapoongea na watu inabidi ujue ni watu wa aina gani! Sifa ya mtu mzima ni kujiongeza, and this is readers response, mtu anaposoma kitu fulani tunategemea akiilewe vyovyote anavyoweza, Kwanini unakazana kusema diamond kakosea kwanini usianze kumkosoa kwanza davido? Unahisi ni kwanini tusiamini hizi ni chuki za wazi kwa Diamond? ??? Mtu mwenye busara angeanza kumkosoa Davido kwanza ndipo aje kwa Diamond! I am safe to say that Mrembo by Nature hampendi ndomo na hii inathibitishwa na comment zako.
Achana nae huyo tumemdharau sana kwa kumtetea huyo boko haram wa kinaijeria huyo davido mwenyewe wanaigeria wanamchukia sana kwa madharau yake
wewe umemwelewaje labda???
Siwezi kukujibu Naona siku iishe kwangu Mimi na wewe.... Siwezi kuendelea kwa maana tayari unaonekana kuongozwa na hisia zaidi kuliko fact.
wizkid ni mswahili afadhali hata davido.Yeah! Iliwasumbua sana hiyo kitu, coz ilifichuliwa na team yake, kwa kiasi fulani ilimwacha na lawama Akon. Hahahaa half-caste...!!!
Ova
Tunasema diamond alikurupuka kujibu...kwan na yy alimtaja mtu. Hata yy tenzi yake ni Tata pia. Kwahiyo kwa yeyote anaemlaumu nasibu ajilaumu yy mwenyewe kwa uelewa wake. Wote waliandika kisanii.