Davido anunua Mercedes Maybach toleo maalumu la ‘Virgil Abloh’ kwa Tsh. Bilioni 1.41

IMG_1404.jpg

Maktaba ya chuo kikuu cha akina davido
 
IMG_1410.jpg

Yes wakati anazaliwa Atlanta, ambako tayari familia yake ina makazi ya kudumu huko mimi na wewe tumezaliwa tandahimba, ukiacha mbali makazi yake binafsi ambayo anamiliki atlanta, tufanye kazi kwa bidii sana , hivo vitu kwa Davido ni issue ndogo ndogo sana
 
Davido kwao matajiri, wala hutakiwi kujifanya unashauri lolote maana kati ya familia 20 tajiri nigeria na familia ya akina davido imo, wale ni dollar billionaires, amezaliwa anakuta visima vya mafuta, viwanda, mabenki, vyuo vyote vipo hatumii pesa kwa showoff bali anatumia zilizopo kwao tayari na kwa bongo wasanii wenye pesa kumshinda hawapo na hawajatokea na hawatotokea,
Kumbe

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
IMG_1412.jpg

Hapo Davido akiwa na mfanyabiashara na msambazaji mkubwa wa mafuta sehemu mbalimbali afrika femi otedola ambae anakadiriwa kua na utajiri wa zaidi ya dollar bilioni 2 , maandishi pale juu yanasema mtoto wa kiume wa bilionea ambae ni davido kakutana na bilionea kwa tafsiri ya haraka
 
Back
Top Bottom