David Silinde ana mpango wa kuendelea na ubunge?

Nimesoma na David Ernest Silinde mbunge wa mbozi magharibi na mdogo wangu ki-umri

Hivi majuzi nimezungumza na mwananchi mmoja na akanieleza yafuatayo kuhusu Silinde.

1. Hahudhurii vikao vingi vya halmashauri ya wilaya
2. hahudhurii/amehudhuria kikao kimoja tu cha baraza la mamlaka ya mji mdogo wa Tunduma (kwa mujibu wa
maelezo ya mdau huyu Tunduma ni mji wa muhimu sana katika siasa za jimbo la Mbozi Magharibi na alipata
kura nyingi sana zilizomwezesha kushinda jimbo hilo.
3. Aliahidi kuwa na makazi yake Tunduma, jambo ambalo haliko hivyo mpaka sasa na haonyeshi mpango wowote.
4. Si mwepesi wa kurudi jimboni kama alivyo mwepesi wa kwenda nje ya nchi hivi sasa.
5. Hajaanza kuchimba visima vya maji kama alivyoahidi.

na mengineyo mengi ambayo nisingependa kukuchosha kusoma.

kwa haya na mengine kadhaa najiuliza Je mdogo wangu huyu ana mpango wa kuendelea na ubunge katika siku zijazo? Je CHADEMA wanalitambua hili?

Visima atachimba bado muda... wananchi waendelee kusubili hadi 2015.
 
atachimba lini wakati hata viko vya halmashauri haudhirii.? Tunajua uwezo wa kuleta maji hana....hivyo ajitaidi afukie hata mashimo kwenye barabara ya katikati ya mji 2015 sio mbali.!!
 
Uzi huu ni muhimu kwa Silinde na chama pia, kitu kimoja kilicho sababisha CCM kupoteza majimbo na CDM kuyapora ni kwa Wananchi kuchoshwa na ahadi hewa kila baada ya miaka mitano, ni vyema wabunge wa CDM wasiingie kwenye kundi hilo kwani ni gharama kwa chama kupoteza jimbo kwa makosa common na ya hovyo kwa wakati huu.
 
mh. Silinde amejisahau sana,zaidi anategemea chama kumbeba na sio uwezo wake binafsi. Namshauri arudi jimboni kuyafanyia kazi matatizo ya wananchi.!
 
Silinde njoo ujibu hoja hapa nini malengo yako kuhusu wanatunduma.!
 
Nimesoma na David Ernest Silinde mbunge wa mbozi magharibi na mdogo wangu ki-umri

Hivi majuzi nimezungumza na mwananchi mmoja na akanieleza yafuatayo kuhusu Silinde.

1. Hahudhurii vikao vingi vya halmashauri ya wilaya
2. hahudhurii/amehudhuria kikao kimoja tu cha baraza la mamlaka ya mji mdogo wa Tunduma (kwa mujibu wa
maelezo ya mdau huyu Tunduma ni mji wa muhimu sana katika siasa za jimbo la Mbozi Magharibi na alipata
kura nyingi sana zilizomwezesha kushinda jimbo hilo.
3. Aliahidi kuwa na makazi yake Tunduma, jambo ambalo haliko hivyo mpaka sasa na haonyeshi mpango wowote.
4. Si mwepesi wa kurudi jimboni kama alivyo mwepesi wa kwenda nje ya nchi hivi sasa.
5. Hajaanza kuchimba visima vya maji kama alivyoahidi.

na mengineyo mengi ambayo nisingependa kukuchosha kusoma.

kwa haya na mengine kadhaa najiuliza Je mdogo wangu huyu ana mpango wa kuendelea na ubunge katika siku zijazo? Je CHADEMA wanalitambua hili?

mkuu hata kama hataki jimbo ni vema awe anakuja mara kwa mara kuwatembelea wapiga kura wake. Lakini huyu mheshimiwa anarekodi mbovu kila mahali, chadema ni vema waanze kumtafuta mtu makini wa kuziba pengo lake.kwani hatutaki magamba wachukue tena hili jimbo.!
 
ni ukweli halisi kuwa silinde ni muongeaji mzuri lakini si mtendaji! Jimbo tumeliweka rehani halaf ukimwambia anaona mnamfanyia majungu! Silinde kama angeandika kitabu cha biograph yake kingekuwa ni mfano haswa! Maana ametokea ktk mazingira magumu leo hii yuko vizuri, asisahau alikotoka but most people do!
 
mkuu unachoongea ni kweli,jamaa akisimama jukwaani unaweza kusema ana undugu na Obama. Ila kwenye utendaji ziro kabisa.!
 
Nimesoma na David Ernest Silinde mbunge wa mbozi magharibi na mdogo wangu ki-umri

Hivi majuzi nimezungumza na mwananchi mmoja na akanieleza yafuatayo kuhusu Silinde.

1. Hahudhurii vikao vingi vya halmashauri ya wilaya
2. hahudhurii/amehudhuria kikao kimoja tu cha baraza la mamlaka ya mji mdogo wa Tunduma (kwa mujibu wa
maelezo ya mdau huyu Tunduma ni mji wa muhimu sana katika siasa za jimbo la Mbozi Magharibi na alipata
kura nyingi sana zilizomwezesha kushinda jimbo hilo.
3. Aliahidi kuwa na makazi yake Tunduma, jambo ambalo haliko hivyo mpaka sasa na haonyeshi mpango wowote.
4. Si mwepesi wa kurudi jimboni kama alivyo mwepesi wa kwenda nje ya nchi hivi sasa.
5. Hajaanza kuchimba visima vya maji kama alivyoahidi.

na mengineyo mengi ambayo nisingependa kukuchosha kusoma.

kwa haya na mengine kadhaa najiuliza Je mdogo wangu huyu ana mpango wa kuendelea na ubunge katika siku zijazo? Je CHADEMA wanalitambua hili?

Jamaa uliongea sana,khs silinde na silinde kashinda tena jimbo lingne jipya kabisa ambako ccm walikuwa wananguvu
 
Back
Top Bottom