MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,516
- 47,752
Msikilize vizuri Ndii, haumii maneno anayosema? feasibility study, funderiser, construction and now operational under contractor and you pay for it and now you have already paid 8B KSH my God. Huoni uchungu!!!! unashangilia ujinga? Mwacheni Magufuli aitwe Magufuli maana aliwakataa hawa jamaa Kwa haraka sana na hata bandari ya Bagamoyo walitaka kufanya hivyo hivyo?
Achana na siasa sikiliza vyombo vyenu vya habari na muwe na uzalendo sio wa kikenya bali wa Africa. Mimi ni Mtanzania inaniuma sana jinsi wachina wanakula hiyo pesa yetu. Mama zetu wanahangaika na kuinua maisha yao lakin kumbe kuna viongozi washenzi wanafanya wengine tukalipe gharama za watu wengine. Kila mwafrika asikitika kwa hili
Sisklizi Ndii wala vyombo vyovyote vya propaganda, sisklizi Watanzania wanaoumia, mimi nia yangu ni maombi yangu ni kitu kifike kwa Kagamae na Sudani, mengine hayo yote kitaeleweka siku za usoni kwa njia moja au nyingine. Nyie mnakeshea SGR ya Kenya wakati ya kwenu hata haijulikani kama ipo hai au kuna chochote kinaendelea, mhangaike na yenu kwanza, tulishakamilisha kilomita 500, sasa tupo kwenye safu ya pili ambayo asilimia 70% tayari.