Mwaibula was one of the hopeless people. Alikuwa na siasa za design ya Makamba, hakuna lolote la maana alilofanya. Tatizo la usafiri kuwa shaghalabagala Dar es salaa haliwezi kushughulikiwa kwa kupaka magari rangi, kunatakiwa njia yenye akili zaidi kama wanazotumia wenzetu wa nchi zilizoendelea. Sioi Mwaibula style, na akienda Iringa huenda atapiga kelele kelele tu, naona anfaa kufanya kazi ofisi moja na Makamba!
Jamani kama ni pongezi yule baba wa watu anastahili,alifanya kazi nzuri sana,panapostahili pongezi tutoe pongezi,na sio kuanza kusema ooo hopeless sio vizuri hivi jamani,haipendezi.
Bongolander sidhani kama unamtendea haki Mwaibula kwa kulinganisha mfumo wa usafiri Tanzania na nchi zilizoendelea wakati akiwa madarakani. Ungetathmini 'u-hopelessness' wake kwa kulinganisha hali ilivyokuwa nzuri au mbaya kabla hajaingia madarakani na hali ilivyokuwa wakati anamaliza muda wake. Kuilinganisha Tanzania na nchi zilizoendelea katika hili ni sawa na kumlinganisha tembo na sisimizi.
MKUU, SEMA WEWE maana.......Wewe lazma una matatizo na huyu baba; kupanga rangi ni sawa, we need to mark haya magari ili kusaidia control na monitoring yake; hilo la ku-suggest ati atumie akili kama za majuu nadhani umefuka big time!! akili alizotumia hata majuu hamnazo....
Kumbuka he had to work within the circumnstances, yaani hakuna barabara mpya, hakuna support ya ziada kifedha na population was increasing; he did a ery good job and at least he know hali halisi ya dar na adha ya usafiki in person
Unless unataka kutuambia kwamba ungefanya vizuri zaidi... which i doubt!!!
Ha ha ha Mkuu nimecheka sana maana watu wanapost irrellevancies.Thanks sana tu, umenena wallah!!!
sometime tuna-compare oranges with cigarettes!!!
Mwaibula was one of the hopeless people. Alikuwa na siasa za design ya Makamba, hakuna lolote la maana alilofanya. Tatizo la usafiri kuwa shaghalabagala Dar es salaa haliwezi kushughulikiwa kwa kupaka magari rangi, kunatakiwa njia yenye akili zaidi kama wanazotumia wenzetu wa nchi zilizoendelea. Sioi Mwaibula style, na akienda Iringa huenda atapiga kelele kelele tu, naona anfaa kufanya kazi ofisi moja na Makamba!
Hii ni bongo. Ukitaka kutolewa kafara basi uwe mchapa kazi katika kundi la wapiga domo na wavivu. Haya ndiyo yaliyompata Mwaibula, alikuwa kiongozi siyo mtawala na ndiyo maana alisimamia alichosema. Labda hana godfather katika hii nchi iliyojaa nepotism.
MKUU, SEMA WEWE maana.......
Huyu jamaa labda humfahamu vizuri. Kuna mambo alijitahidi lakini pia alikuwa na mtandao wa rushwa wa ajabu. Kwa juu juu utamuona kama kiongozi wa mfano lakini nilikuwa dissapointed siku moja nilipoenda kutafuta leseni. Kulikuwa na kubao kikubwa mlangoni mwake (font kama 10,000 hivi) iliyoandikwa 'Hakuna Rushwa Hapa" na wakati huo huo alikuwa na watu wake pale nje wanaowadaka watu na kuwataka watoe kiasi fulani cha hela ili upate lesseni.
baada ya kuona hiyo mizengwe ulichukua hatua gani ili kufanya uovu huo ufahamike?au uliishia kuamini kuwa ni vijana wa mwaibula wanafanya hayo kwa niaba yake?
Hatua niliyochukua ni kutoa taarifa.. Nina akina na wengine wengi pia walitoa ... na hii ilichangia kuanguka kwake (Systems za haki bongo bado zinafanya kazi - hazijafa). Nimetoa ushuhuda... kuamini kunakujaje hapa.
Hongera sana, that was cynical enough... no wonder we wtill have rostam, EL, vithlani, somaiya et al enjoying the systems
Haki haipatikani mahakamani, takukuru au polisi tu..
Kiongozi nakubaliana na wewe kabisa,huyu bwana madereva na makonda wa daladala alikuwa amewabana kiasi wakiliona Benz lake tu wanaanza kuhangaika kama kuvaa uniform zao,kupunguza speed,madereva wa daladala walikuwa wanamuogopa zaidi wanavyowaogopa Traffic polisi!!!Hii ni bongo. Ukitaka kutolewa kafara basi uwe mchapa kazi katika kundi la wapiga domo na wavivu. Haya ndiyo yaliyompata Mwaibula, alikuwa kiongozi siyo mtawala na ndiyo maana alisimamia alichosema. Labda hana godfather katika hii nchi iliyojaa nepotism.