David Mathayo David wasifu wako ndio huu. Ya nini kuwadanganya Watanzania?


though free state is also not an accredited university!
 
Lakini wamefanana na Cleopa Msuya. Sasa ambao hawana shangazi wala mjomba watafika kweli?
 
Mbona Mrema aligombea Temeke? Kwani Temeke ni nyumbani kwake? Jenga hoja acha ungedere VIMA (Kinyume cha hilo neno).
Haya, Makubwa: Kumbe DMD (David Matayo David) ni DCM (David Cleopa Msuya)? Hizo ndizo tabia za magamba. Msishangae!
 
hajawahi ku repeat mwaka ....muwe wakweli bwana....mmesema hana MSc haya thesis imewekwa hapa mmehamia kwenye mambo ya ku disco...

Uliza watu waliosoma naye SUA? Kama wewe ni katibu wake ahabari ndiyo!

Sasa kanusha basi na hilo la kutapeli wanafunzi wa SUA kuhusu SCHOLARSHIP?
 
Blood Hurricane
Sikumbuki kama alisoma TOSAMAGANGA kwa mwaka uliotajwa ila nakumbuka katokea KIBAHA alikuwa akisoma CBA, Na alijiunga na SUA mwaka 1992 kusomea shahada ya udaktari wa mifugo (BVM). Na ndo wanachuo wa kwanza kuanzia kusomea Mazimbu campus mwaka 1992 kama sehemu ya SUA, hadi mwaka 1992 walipopelekwa main campus.Kuna mgomo ulitokea SUA mwaka 1992 siri nyingi za wanafunzizilikuwa zikivuja ya wezekana kweli alikuwa akihusika kuzivujisha kwenye system maana babake alikuwa bado kwenye system!Kweli alikuwa na redio na TV set ila si kwamba ndo alikuwa mwanafunzi mwenye TV na redio pekee chuoni, bali ma'foreigners'au wanafunzi wa kigeni kutoka Uganda na Rwanda walikuwa na hivi vitu.Ila Tosamaganga bweni la MWENGE sikuwahi kumwona! wakati huo nilikuwa kidato cha sita na nilikuwa kwenye bweni hilo ,hii sura nimeikuta SUA na sio TOSA!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna ubishi,huyu ni mtoto kamili wa mzee Cleopa Msuya wa nje ya ndoa,watu wa karibu na Msuya wanajua hivyo,lakini kwa heshima aliyonayo Mzee Msuya kikanisa(Lutheran) na kikabila(kipare) katu mzee Msuya hawezi kuliweka wazi. Kama mnabisha mwambieni ututajie baba yake ni nani?
 
Kuna maneno mtaani eti ni mtoto wa nje ya ndoa kwa mzee Cleopa David Msuya ndio sababu ya wazee kumkataza kutumia jina la ukoo katika siasa asije kuharibu sifa na heshima ya baba yake

Naam, hii yawezejana sababu akiwa JKT Itende (1991/92) alikuwa pia na Mtoto mwingine wa mzee Msuya aitwaye Job. Huyu ni mtoto wa Mke wa mzee Cleopa. Wakati ule ilikuwa Kambi ya SHUSHI kwa hiyo Watoto wa Vigogo walipelekwa kule. Na kule walipewa kazi za "Maselule". Kwa mfano Job alikuwa KARANI wa Kombania wakati Matayo alikuwa KARANI kule Ofisi kuu!
 
Teeh teeh teeh kama ni kamari mmeshaibiwa tayari. Matayo na TOSAMAGANGA wapi na wapi,Pia Matayo na CBG wapi na wapi. Hiki chanzo hakiaminikiTake it from me kuna mengi ya uongo juu ya Mheshimiwa huyu
 
Yaani ni ajabu, leo kabla ya kurudi nyummbani jioni, tulikuwa tunajadili hayo uliyoyaandika. Kuna kijana anayetoka Same karibu na familia ya David Mathayo alitueleza mambo mengi yanayofafa na haya.

Kuna binti aliwahi kureseat masomo ktk centre yangu anadai ni mtoto wa David Mathayo lakini leo nikaambiwa David hana mtoto mkubwa aliyemaliza F. IV;

Tutamfahamu
 
Akiwa Itende JKT alikuwa assistant PEO(political education officer) na alikuwa mnoko sana.
 

Sir R nafikiri atakuwa na mtoto mkubwa maana pale Itende alimpa mimba binti mmoja wa Kinyakyusa kama sikosei anaitwa Unosye.(kumbukumbu zangu zinanipeleka huko)
 
Reactions: GP
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…