David Mataka akutwa na kesi ya kujibu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,351
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege Tanzania, David Mataka amekutwa na hatia ya kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Shilingi 300m.

Kesi yake ilikuwa ikinguruma leo kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, tarehe ya hukumu itapangwa.

Habari zaidi zinawajia..

================
 
sasa hukumu yake imekuwaje...??
ukizingatia jana kule nigeria rais wao
kachukua hatua ngumu sana kwa watu
wa namna ya huyo mkurugenzi.
 
Hivi huyu Mattaka ana undugu na yule mwanamuziki wa DRC Defao?
 
Adhabu itakuwa kifungo cha mwaka 1jela au kulipa fyn sh.laki 5
 
Kweli hujafa hujaumbika. Huyu David Mattaka alisumbua sana ile miaka ya kati ya 1995 na 2000. Aliweza kuwafanya kinyume na maumbile wanaume wawili ofsini kwake. Mmoja alikuwa dreva wa gari yake na mwingine Transport Officer. Hiyo ni mbali ya Defao na wadada kadhaa ?liowachana matako. Ngoja naye atumikie dhambi zake.
 

mmh maneno kuntu....
 
Alikuwa anachezea fedha za PPF anavyotaka mwebyewe na alikuwa na nyodo za kutisha. Kampany yake nyingine ni yule shoga maarufu mwenye Baa ya kwa Macheni pale Magomeni Mapipa. Alimnunulia mpaka prado
 
Naona watu wanagunguka makubwa. Mpaka yale yasiyohusiana na kesi yake.
 
Hongera sana Mataka kwa hili lililokufika ila since 90's ule usumbufu wako ndio umetupa kahasara kiduchu ivi aaaagghrrr wewe sio mpigaji kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…