Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Kifungu cha 50(1) cha mkataba wa EAC kinasema kwamba pamoja na vigezo vingine ambavyo Bunge la nchi husika litajiwekea katika kuwapata wawakilishi hao 9 katika EALA lakini lazma wabunge hao 9 wapatikane kwa kuzingatia sura ya kisiasa ndani ya Bunge husika pamoja na Jinsia.
Sasa sura ya kisiasa ktk bunge la Tanzania ni CCM ina 70% hivyo inastahili seats6, CDM ina 18% inastahili seats 2 na CUF ina 10% inastahili 1 seat.
Hivyo tangazo la Spika kuhusu mgawonyo wa nafasi za EALA limetolewa ktk namna itakayoakisi kifungu hicho cha 50(1) ambacho kanuni za Bunge zilikuwa hazikifanyi kifikiwe kwa uzoefu wa muda mrefu.
Msingi wa kifungu hicho ni kujenga mwafaka wa kisiasa ndani ya nchi wanachama khs masuala ya EAC.
Angalia mfano Opposition ya tz iwakilishwe na mtu kutoka chama kidogo kama Nccr au ACT vyenye asilimia 0.25% bungeni each, CHADEMA na CUF wenye 30% wakipinga jambo fulani kuhusu EAC ni vigumu mwakilishi huyu kutoka chama hicho kidogo kumudu kuondoa tofauti hiyo.