MASIKINI KAFULILA UCHAWA MPAKA LINI MKUU?UVCCM WAPO WA KUMWAGA KWENYE CHAMA CHAO TAFUTA KAZI NYINGINE ACHANA NA UCHAWAKAFULILA: TUKISOMA RIPOTI ZA KIMATAIFA- MOODY'S YATHIBITISHA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ANAJENGA UCHUMI SHINDANI NA SIASA IMARA UKILINGANISHA NA NCHI ZOTEZILIZO NDANI NA NJE YA AFRICA MASHARIKI.
Mhe Kafulila anasema, Duniani kuna taasisi 72 za kupima afya ya chumi za Mataifa na Makampuni mbalimbali duniani ( Global Credit Rating Agency).
Kati ya taasisi hizo 72, Taasisi ya MOODY'S inaongoza duniani ikiwa inamiliki aslimia 45% ya biashara hii.
Oktoba 7, 2022 kwa mara nyingine, imeipandisha daraja Tanzania kama alivyopost ripoti hiyo,Mchambuzi David Kafulila kwenye ukurasa wake wa tweeter chini hapa.
"Mama ameikusanya nchi pamoja kisiasa."
Kafulila anasema "Mama anajenga serikali sikivu, Mama anajenga uchumi shindani, Mama anafungua nchi... hakika Mama anaupiga Mwingi"..
Kwa yule ambae hawezi kusoma repoti yote aliyoambatisha Kafulila kwenye ukurasa wake,
Anayeweza kusoma attachment tu kwenye tweeter yake uone taasisi yenye heshima duniani kwa sayansi ya kupima afya ya uchumi inasema ,"We argue with facts"
Kwanyongeza tu si kwa nchi za Jumuiya ya EAC pekee lakini pia Rais Samia Suluhu kawazidi wanaume wa Ghana, Namibia, Msumbiji, nk..
Tumbili ana shida sana haya maisha ni hatariHuyu bwana asipopata uteuzi anaweza kuwehuka
Ushamwagwa huna lolote msaliti weweKAFULILA: TUKISOMA RIPOTI ZA KIMATAIFA- MOODY'S YATHIBITISHA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ANAJENGA UCHUMI SHINDANI NA SIASA IMARA UKILINGANISHA NA NCHI ZOTEZILIZO NDANI NA NJE YA AFRICA MASHARIKI.
Mhe Kafulila anasema, Duniani kuna taasisi 72 za kupima afya ya chumi za Mataifa na Makampuni mbalimbali duniani ( Global Credit Rating Agency).
Kati ya taasisi hizo 72, Taasisi ya MOODY'S inaongoza duniani ikiwa inamiliki aslimia 45% ya biashara hii.
Oktoba 7, 2022 kwa mara nyingine, imeipandisha daraja Tanzania kama alivyopost ripoti hiyo,Mchambuzi David Kafulila kwenye ukurasa wake wa tweeter chini hapa.
"Mama ameikusanya nchi pamoja kisiasa."
Kafulila anasema "Mama anajenga serikali sikivu, Mama anajenga uchumi shindani, Mama anafungua nchi... hakika Mama anaupiga Mwingi"..
Kwa yule ambae hawezi kusoma repoti yote aliyoambatisha Kafulila kwenye ukurasa wake,
Anayeweza kusoma attachment tu kwenye tweeter yake uone taasisi yenye heshima duniani kwa sayansi ya kupima afya ya uchumi inasema ,"We argue with facts"
Kwanyongeza tu si kwa nchi za Jumuiya ya EAC pekee lakini pia Rais Samia Suluhu kawazidi wanaume wa Ghana, Namibia, Msumbiji, nk..
Kama ndugu katibu wa ffc..walio karibu na kafulila wawe makini.. Kuna mkeka unakujaHuyu bwana asipopata uteuzi anaweza kuwehuka
Tumbili ana shida sana haya maisha ni hatari
Acha uHao siyo Moods, labda watakuwa ni UVCCM.
Yaani hawajaiona Kenya???
MAWAZO ya kishetani haya,Huyu bwana asipopata uteuzi anaweza kuwehuka