CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 6,091
- 5,357
All the KafuKAFULILA: RIPOTI ZA KIMATAIFA- MOODY'S YATHIBITISHA RAIS SSH ANAJENGA UCHUMI SHINDANI NA SIASA IMARA KULINGANISHA NA NCHI ZOTE EAC NA NJE YA EAC.
Duniani kuna taasisi 72 za kupima afya ya chumi za mataifa na makampuni mbalimbali duniani( Global Credit Rating Agency).
Kati ya taasisi hizo72, Taasisi ya MOODY'S inaongoza duniani ikiwa inamiliki aslimia 45% ya biashara hii. Jana, Oktoba 7, 2022 kwa mara nyingine, imeipandisha daraja TZ kama alivyopost ripoti hiyo,
Mchambuzi David Kafulila kwenye ukurasa wake wa tweeter chini hapa. Mama ameikusanya nchi pamoja kisiasa.
Mama anajenga serikali sikivu, Mama anajenga uchumi shindani, Mama anafungua nchi... hakika Mama anaupiga Mwingi.. ambae hawezi kusoma repoti yote aliyoambatisha Kafulila kwenye ukurasa wake,
Anayeweza kusoma attachment tu kwenye tweeter yake uone taasisi yenye heshima duniani kwa sayansi ya kupima afya ya uchumi inasema ,"We argue with facts"
Sasa unapinga UTAFITI bila UTAFITI rafiki?Hao siyo Moods, labda watakuwa ni UVCCM.
Yaani hawajaiona Kenya???
Samia chuma Kweli Kweli, wanaume wote katupa kuleKAFULILA: TUKISOMA RIPOTI ZA KIMATAIFA- MOODY'S YATHIBITISHA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ANAJENGA UCHUMI SHINDANI NA SIASA IMARA UKILINGANISHA NA NCHI ZOTEZILIZO NDANI NA NJE YA AFRICA MASHARIKI.
Mhe Kafulila anasema, Duniani kuna taasisi 72 za kupima afya ya chumi za Mataifa na Makampuni mbalimbali duniani ( Global Credit Rating Agency).
Kati ya taasisi hizo 72, Taasisi ya MOODY'S inaongoza duniani ikiwa inamiliki aslimia 45% ya biashara hii.
Oktoba 7, 2022 kwa mara nyingine, imeipandisha daraja Tanzania kama alivyopost ripoti hiyo,Mchambuzi David Kafulila kwenye ukurasa wake wa tweeter chini hapa.
"Mama ameikusanya nchi pamoja kisiasa."
Kafulila anasema "Mama anajenga serikali sikivu, Mama anajenga uchumi shindani, Mama anafungua nchi... hakika Mama anaupiga Mwingi"..
Kwa yule ambae hawezi kusoma repoti yote aliyoambatisha Kafulila kwenye ukurasa wake,
Anayeweza kusoma attachment tu kwenye tweeter yake uone taasisi yenye heshima duniani kwa sayansi ya kupima afya ya uchumi inasema ,"We argue with facts"
U CHAWA siyo mchezo.. wacha asujudie ingawa kutoboa ni vigumuKafulila anasifu anaabudu na kutukuza
Kafulila ushatimuliwa , hurudishwi tena hata ukijipendekeza vipi , Usaliti ni laana , Imeisha hiyo !!KAFULILA: TUKISOMA RIPOTI ZA KIMATAIFA- MOODY'S YATHIBITISHA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ANAJENGA UCHUMI SHINDANI NA SIASA IMARA UKILINGANISHA NA NCHI ZOTEZILIZO NDANI NA NJE YA AFRICA MASHARIKI.
Mhe Kafulila anasema, Duniani kuna taasisi 72 za kupima afya ya chumi za Mataifa na Makampuni mbalimbali duniani ( Global Credit Rating Agency).
Kati ya taasisi hizo 72, Taasisi ya MOODY'S inaongoza duniani ikiwa inamiliki aslimia 45% ya biashara hii.
Oktoba 7, 2022 kwa mara nyingine, imeipandisha daraja Tanzania kama alivyopost ripoti hiyo,Mchambuzi David Kafulila kwenye ukurasa wake wa tweeter chini hapa.
"Mama ameikusanya nchi pamoja kisiasa."
Kafulila anasema "Mama anajenga serikali sikivu, Mama anajenga uchumi shindani, Mama anafungua nchi... hakika Mama anaupiga Mwingi"..
Kwa yule ambae hawezi kusoma repoti yote aliyoambatisha Kafulila kwenye ukurasa wake,
Anayeweza kusoma attachment tu kwenye tweeter yake uone taasisi yenye heshima duniani kwa sayansi ya kupima afya ya uchumi inasema ,"We argue with facts"
Arudi kupiga muziki kwenye sherehe za Kipa imara kama zamani huko buzebazebaIla jaman siasa sio kazi ndogo
Kafulila anasifu anaabudu na kutukuza
Kweli maisha haya sio lelemama wala lilidada
Pambana kaka K
Huo siyo utafiti , usiharibu maana ya neno utafiti. Huo ni utopolo.Sasa unapinga UTAFITI bila UTAFITI rafiki?
Kuwa makini Mzee wa UFIPA,
Jadili hoja sio mtoa hojaKafulila ushatimuliwa , hurudishwi tena hata ukijipendekeza vipi , Usaliti ni laana , Imeisha hiyo !!
Leo ndo nimethibitisha hii ID pia ni yako. Tumbili!!Sasa unapinga UTAFITI bila UTAFITI rafiki?
Kuwa makini Mzee wa UFIPA,
KAFULILA: TUKISOMA RIPOTI ZA KIMATAIFA- MOODY'S YATHIBITISHA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ANAJENGA UCHUMI SHINDANI NA SIASA IMARA UKILINGANISHA NA NCHI ZOTEZILIZO NDANI NA NJE YA AFRICA MASHARIKI.
Mhe Kafulila anasema, Duniani kuna taasisi 72 za kupima afya ya chumi za Mataifa na Makampuni mbalimbali duniani ( Global Credit Rating Agency).
Kati ya taasisi hizo 72, Taasisi ya MOODY'S inaongoza duniani ikiwa inamiliki aslimia 45% ya biashara hii.
Oktoba 7, 2022 kwa mara nyingine, imeipandisha daraja Tanzania kama alivyopost ripoti hiyo,Mchambuzi David Kafulila kwenye ukurasa wake wa tweeter chini hapa.
"Mama ameikusanya nchi pamoja kisiasa."
Kafulila anasema "Mama anajenga serikali sikivu, Mama anajenga uchumi shindani, Mama anafungua nchi... hakika Mama anaupiga Mwingi"..
Kwa yule ambae hawezi kusoma repoti yote aliyoambatisha Kafulila kwenye ukurasa wake,
Anayeweza kusoma attachment tu kwenye tweeter yake uone taasisi yenye heshima duniani kwa sayansi ya kupima afya ya uchumi inasema ,"We argue with facts"
Kwanyongeza tu si kwa nchi za Jumuiya ya EAC pekee lakini pia Rais Samia Suluhu kawazidi wanaume wa Ghana, Namibia, Msumbiji, nk..
Kuna hoja hapo zaidi ya kulamba nyayo ? Usichokijua ni kwamba kilichomng'oa Kafulila ni Masharti ya Kinana kurudi kwenye chama , ni kama alivyong"olewa Ally Hapi , fuatilia kidogo .Jadili hoja sio mtoa hoja