ila alipochemsha ni kwamba badala ya kutoza PAYEE yeye atahakikisha wenye nyumba wote mijini wanalipa kodi akasahau that the very moment anafanya hivyo kodi za nyumba zitapaa kiasi kwamba itabidi tuanzishe "kibera" katika miji yote!Haka kajamaa kako vizuri kwa kweli