Akichangia jioni ya leo katika makadilio ya mapato na matumizi ya bajeti ya wizara ya maji, amesema tatizo ka serikali hii ya ccm ni serikali ambayo imewekwa mfukoni na singasinga mmoja. "Mtu mmoja analipwa bilioni tano kwa mwezi, azalishe au asizalishe umeme wakati mradi wa maji jimboni kwangu unahitaji shilingi milioni mua nne, tukisema serikali hii ya ccm imewekwa mfukoni na singasinga mmoja mnakataa. "
Message sent.
:msela::msela::msela::msela::msela::msela:IMEWEKWA YA KWAKE NA FAMILIA YAKE KWENYE HUO MFUKO WA SINGASINGA
Huyo ndo kafulila. Kasema ukweli
Mama amepanic sana
Yaani we jamaa UNA MACHO LKN HUONI!!!
tumbili kanifurahisha saaana
Escrow imeisha jombaa, sasa hivi ni kutangaza nia kwenda mbele
Wewe ndo kichaa kweli kwa hiyo na wewe uko kwenye mfuko wa huyo Singasinga?uko mfukoni kwake wewe peke yako.
Huyo ndo kafulila. Kasema ukweli