Mhere Mwita
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 235
- 1,275
Shilingi yetu imeshuka thamani kwa kasi kwasababu za ndani na nje.
1.Sababu za nje ni kupanda kwa thamani ya dola dhidi ya sarafu zote duniani..
2.Sababu ya ndani kwetu ni ukosefu mkubwa wa dola kutokana na kukwama kwa mikopo na misaada ilotarajiwa sanjari na kupungua kwa kiasi cha dola kwenye bank zetu kutokana na dosari za kiuchumi hapa katikati
3. Nikwasababu hizo za ndani ndio mana mtikisiko wa nje umesababisha shilingi yetu kuyumba kwa zaidi ya 5% ndani ya mwezi huu wakati shilingi ya Kenya ikiyumba kwa 1.8% kwa zaidi ya miezi miwili.