Alichokifanya ni kutoka Chumba A na kuhamia Chumba B,Kaenda kwa mkewe, sioni kama ita muimarisha yeye kisiasa bali ita msaidia mkewe zaidi.
Halafu kama wote NCCR na CDM ni UKAWA kuna haja gani ya Kafulila kuhama!? Au ndio umoja wa mashaka wenyewe!!
Bado Seif na wapemba wenzake, mpaka Mbatia anyooke daadeki.
Lowasa, Sumaye na Kingunge watarudi CCM.Hata zito atarudi chadema
Hakuna chama kinachoitwa ukawaMpango wa chadema kuua NCCR,CUF unaenda kwa kasi sana.Kama NCCR ni ukawa kwanini ahamie Chadema ambao ni washirika katika ukawa?
Kwani umeambiwa UKAWA ni chama cha siasaKaenda kwa mkewe, sioni kama ita muimarisha yeye kisiasa bali ita msaidia mkewe zaidi.
Halafu kama wote NCCR na CDM ni UKAWA kuna haja gani ya Kafulila kuhama!? Au ndio umoja wa mashaka wenyewe!!
sawaLowasa, Sumaye na Kingunge watarudi CCM.
Kwa hiyo nccr inakufa??Mbatia naye anakuja, Maalimu naye huko mtabaki na propesa
hahahaha lengo la chadema ni kuviua CUF na NCCRBado Seif na wapemba wenzake, mpaka Mbatia anyooke daadeki.
Chadema na nccr wote wako ukawa ila kahama nccr, ndo wenye akili kama Lipumba walishtuka.
Chadema wana roho mbaya sana wameshindwa kusubiri Mbatia apone..Watakwambia Ukawa ipo pale pale! Huku wanachukuliana wachezaji
Hujui kitu, wewe nenda ukasuke nywele upendeze, hii hoja ni kubwa sana ya wazee.Hakuna chama kinachoitwa ukawa
Tuchukukie mfano una nyumba kubwa yenye vyumba vingi (UKAWA)...Kaenda kwa mkewe, sioni kama ita muimarisha yeye kisiasa bali ita msaidia mkewe zaidi.
Halafu kama wote NCCR na CDM ni UKAWA kuna haja gani ya Kafulila kuhama!? Au ndio umoja wa mashaka wenyewe!!
Kutoka chama kimoja cha upinzani kwenda kingine ndani ya ushirika ni strategy za kimapambano hizo.Mpango wa chadema kuua NCCR,CUF unaenda kwa kasi sana.Kama NCCR ni ukawa kwanini ahamie Chadema ambao ni washirika katika ukawa?