David Kafulila ahamia APPT Maendeleo

David Kafulila ahamia APPT Maendeleo

Anataka kuonesha uthibitisho kuwa wananchi wanamtaka yeye si chama!Infact akifanikiwa kugombea kwa APPT na kushinda atajijengea sifa kubwa!Akishindwa atapotea kwenye ramani ya siasa!!!
 
Kafulila kweli anasaka umaarufu tu, sidhani kama anaweza kufanya kitu kipya huko APPT maendeleo. Peter Kuga Mziray asifikiri kuwa Mbatia alikosea kumtimua dogo. Kama anabisha, amkaribishe Kafulila sebuleni kwake, kesho atataka kuingia chumbani kabisa. Tchaooo......!!!
 
Dogo ameanzakupotea kwenye game mapema sana
Ngoja aongeze idadi ya vyama vyenye nguvu ili vigawane gawane hicho kidogo walichonacho, si vyama vya upinzani hataki ushirikiano!

Namuombea aende APPT maendeleo ashinde ubunge ili Mziray naye apate ruzuku kidogo jamani. Hee ruzuku mnataka mle wenyewe tu?
 
Angesajili chama chake mwenyewe, chama ambacho yeye atakuwa mwenyekiti. Maana huko anakoenda atakuta kuna vingunge, akiwaletea pumba zake atafukuzwa kama Mbwa tena!
Kafulila anataka cheo!
 
Huo ni uongo. James mbatia alitoa gari lake aina ya Ford likakaa kigoma miaka miwili kuhamasisha na kujenga chama. Lilikuwalikifanya kazi kigoma, kasulu na kibondo. Mafuta namshara wa dereva alilipa yeye mbatia. Hivyo kafulila amesaidiwa sana na mbatia, nakumbuka kipindi hicho kafulila alikuwa anavaa viatu vya mchina. TAIMA vimelika soli hadi mashino ya kwenye soli yanaonekana.

Nashukuru kwa kunielewesha hilo la ghari na diesel toka kwa mbatia,.
*kama kafulila alikuwa anavaa viatu vya mchina na bado wananchi wakamchagua kuwa mbunge wao hiyo ni ishara tosha kuwa wanmamkubali yeye kama kafulila kwa hiyo wako radhi kumfuata popote pale,ukizingatia sasa anavaa suti.
*UMEOMBA kazi ukapata kazi,usione kazi kufanya kazi...ukiona kazi kufanya kazi,acha kazi uone kazi.
 
hivi, huyu bwana si amefungua kesi kupinga kuenguliwa uanachama wa nccr? au alipewa tu nafasi na APPT Maendeleo kuongea na wanachi kama mgeni mualikwa?
 
taarifa kupitia gazeti moja zinasema mh.kafulila azuiwa kuhutubia huko kasulu pamoja na kuwa na kibali cha kuhutubia kupitia chama cha APPT maendeleo.
je atasaidia chama hiki kupata nguvu au atakuwa kajimaliza kisiasa?je APPT maendeleo kitakuwa chama kimbilio kwa wale wote walio kwenye msururu wa kufukuzwa kwenye vyama vyao?
......kwani saiv si mbunge wa nccr kupitia mahakama????
 
nashawishika kusema kuwa mammbo kama haya ya akina kafulila yanapunguza nimani ya wananchi kwa vijana kama wanasiasa mahili,makini,wavumilivu,wenye busara na marengo sahihi, bali njaa, kiburi,dhalau,uchu na haraka ya maisha. ashauliwe.....!!!
 
nashawishika kusema kuwa mammbo kama haya ya akina kafulila yanapunguza nimani ya wananchi kwa vijana kama wanasiasa mahili,makini,wavumilivu,wenye busara na marengo sahihi, bali njaa, kiburi,dhalau,uchu na haraka ya maisha. ashauliwe.....!!!
Haya maneno ni muhimu yakazingatiwa sana na Wabunge vijana woote!! Hii picha inayojitokeza ni mbaya sana. Tunachohitaji ni kuwa na wabunge wengi iwezekanavyo wa upinzani bila kujali ni kutoka chama gani. Vinginevyo upinzani utazidi kudhoofika na ccm itazidi kung'ang'ania madaraka ya kuongoza nchi kufilisika.
 
PPT Maendeleo chama langu hili..welcome kafulila.lets build our country
 
Naomba kujuzwa hivi kuna APPT Maendeleo na PPT Maendeleo? Ni vyama tofauti?
 
Back
Top Bottom