David Kafulila aeleza misingi minne ya kujenga uchumi wa kisasa

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
3,579
Reaction score
2,906
Your browser is not able to display this video.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchjni PPPC Bwana David Kafulila amesema ukuaji huu wa wa kasi wa Uchumi wa Tanzania 1unatokana na ukuaji wa Diplomasia Kimataifa.

Mkurugenzi Kafulila ametaja mambo manne ambayo ni muhimu kwenye kujenga Uchumi wa kisasa.

Kwanza, Mkurugenzi huyo ametaja rasilimali watu kama nyezo muhimu katika kujenga uchumi wa kisasa kwani inachangia Kwa 65% hasa kwenye mataifa makubwa yaliyoendelea.

Pili, Namna tunavyotumia maliasili zetu (natural resources) ni njia mojawapo katika kukuza uchumi wa kisasa,

Tatu, Utulivu wa kidplomasia na diplomasia ya Uchumi ni njia muhimu katika kujenga uchumi wa kisasa, Kafulila anasema kila tulipolega kwenye diplomasia nchi ilikubwa na matokeo hasi mengi.

Nne, Mkurugenzi Kafulila anasema kutumia nafasi yakijiografia vizuri kama njia muhimu ya kukuza uchumi wa kisasa. Tanzania kuzungukwa na nchi sita (6) zisizo na Bandari ni fursa kwake kwenye kukuza uchumi wa kisasa.

Soma pia,

==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…