Mabosi wake wote wapo kazini Ulitegemea nini Comrade? Siku yao inakuja usiwe na shaka coz ushahidi tunao basi kuna watu watasikika kwa Moreno Ocampo na wengine wataozea ukonga +keko
Mabosi wake wote wapo kazini Ulitegemea nini Comrade? Siku yao inakuja usiwe na shaka coz ushahidi tunao basi kuna watu watasikika kwa Moreno Ocampo na wengine wataozea ukonga +keko
Ocampo atachelewesha mambo tu.
ukonga, segerea basi
for the record ocampo kastaafu
Tatizo ni TISS iliyochini ya ccmJamani leo asubuhi nimekutana na David Jairo, kilichonishangaza ni kumkuta anatumia gari la serikali Landcruiser V8 wakati nilijua ametolewa serikalini moja moja. nimeshindwa kuelewa sasa anatumia gari yetu, mafuta yetu, dereva wetu sisi watanzania walipa kodi ambao alitusaliti, anatumia kwa misingi gani hivi kapewa cheo gani cha siri huko serikalini ambako sisi watanzania ambao tunatakiwa kumiliki hiyo serikali hatuna SAUTI hata kiduchu mpaka wakati wa uchaguzi ndo tunaambiwa serikali ni yetu si kama inamilikiwa na watu wachache wenye jeuri na kiburi na wanatufanya tuzidi kuwa maskini siku baada ya siku.
As a general rule "every body is innocent until proved guilty"
acha wenye nchi wale nchi yetu, wanywe jasho letu, walale kwenye mifupa yetu. lakini kwanini tusikatae kwa nguvu zote? hivi watanzania wote tukiamua kwenda ikulu kuchukua kura zetu hatuwezi kupewa? Mbona mbeya wakati fulani walikataa kunyanyaswa wakaweza? ccm walipeleka majeshi ya mikoa miwili yaani iringa na mbeya mbona walishindwa kuhimili nguvu ya umma? Watanzania tufike hatua tukatae!!!!!!Kwani alifukuzwa kazi lini?
Si Mkwele amempangia pengine pa kufisidi?
Jamani leo asubuhi nimekutana na David Jairo, kilichonishangaza ni kumkuta anatumia gari la serikali Landcruiser V8 wakati nilijua ametolewa serikalini moja moja. nimeshindwa kuelewa sasa anatumia gari yetu, mafuta yetu, dereva wetu sisi watanzania walipa kodi ambao alitusaliti, anatumia kwa misingi gani hivi kapewa cheo gani cha siri huko serikalini ambako sisi watanzania ambao tunatakiwa kumiliki hiyo serikali hatuna SAUTI hata kiduchu mpaka wakati wa uchaguzi ndo tunaambiwa serikali ni yetu si kama inamilikiwa na watu wachache wenye jeuri na kiburi na wanatufanya tuzidi kuwa maskini siku baada ya siku.