Daudi mwangosi copy na ku paste.

Daudi mwangosi copy na ku paste.

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
Picture 003.jpg
picha hii baada ya kuiona nimememkumbuka marehemu daudi mwangosi kama walikopy na kupaste matukio haya kidongo yanataka kufanana.
 

Attachments

  • Picture 003.jpg
    Picture 003.jpg
    11.2 KB · Views: 739
Wapi hapo??? Lazima itakuwa nje ya tz, kwa kuwa hawa jw wa tz bado hawana kashfa kama ya wenzetu wavaa kaki.
 
Itakuwa KInshasa, Rwanda, BUrundi au SOmalia!
 
imeniuma sana hawandugu simu tu?? Huenda ilikuwa ya kichina imepelekea mauti ya kijana ambaye ni tegemeo la familia na wazazi wake? Anaöeka maskini hata hakujua kwamba ndio mwisho wa uhai wake sijui alitamka nini mauti yanapo mkuta.naamini vifo vingi hupangwa na mola ila hiki hapanaa!! eeeeemola iweke roho ya kijana mahali pema peponi.
 
ndo polisi wa afrika mashariki hao inaonekana mafunzo yao kidogo yanaendana hendana.
 
Wapi hapo??? Lazima itakuwa nje ya tz, kwa kuwa hawa jw wa tz bado hawana kashfa kama ya wenzetu wavaa kaki.

Nani kakwambia JWTZ hawana kashfa kama ya wavaa khaki? Jana tu wamemuua mwendesha bodaboda asiye na hatia!
 
Back
Top Bottom