Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,582
- 12,444
Inakuwaje unakutana mtu kwenye dating site/app unajaribu "kueleweka" (kutongoza) kwake.
Yeye anakuambia yuko pale kuongeaongea tu (wenyewe wanaita kuchat) na watu na sio kwa mambo ya kudate (kutongozana).
Wakuu hii kitu imekaaje?
Je ni kweli mtu anaweza kujisajiri kwenye dating site eti ili aongeeongee tu?
Au huu ni ujasiriamali mpya unaolenga kupandisha dau la mtongozwaji.
NB: Wengi wao huko ni single mothers.
Kwahiyo mkuu ss kumwambia amesahau kukutag ni wivu mkuu?!...
bonge la point.. agza pepsi big hpo..Wengi ni masikini wa kifikra...na pia kuna vituko vingi humo, utakuta unasearch GIRLS NEARBY/ONLINE utashangaa kukuta majamaa wa kiume, lazima upate maswali mengi aisee.
Ukicheka na kima unavuna mabua baharia.....Hongera BAHARIA huo ndo UBAHARIA sasa hakuna kucheka na Kima
Ndugu yangu wademu wahuni wana heshima basi......Huu ni zaidi ya ukatili mkuu hakua tayari na ungelazimisha ni sawa na kubaka ni bora ungempa nafasi alale au ungemsindikiza hadi alipokua anakwenda na hakika angekuheshimu milele
Hizo ndo bei za kule EXOTIC ambako baharia mwenzetu anaelekezwa. Halafu mkuu huko siyo tu 50 usd kwa nusu saa..... wengine wanataka ukimwita uwe kwenye 5 or 4 star hotel. Kuna mwanamke mmoja anajiuza kwenye site hizo anaitwa something taler hunter ameweka mashart hayo mkuu.Mkuu unamaanisha unakula kitu nusu saa kwa 50 USD?
Kabisaa mkuuAwa viumbe unatakiwa unavaa uso wa mbuzi usio na huruma ata kidogo ,ukizubaaa tuu unakosa kucheza na kiharage
Ndugu yako yule?Huu ni zaidi ya ukatili mkuu hakua tayari na ungelazimisha ni sawa na kubaka ni bora ungempa nafasi alale au ungemsindikiza hadi alipokua anakwenda na hakika angekuheshimu milele
Inaonesha wanalipa sana eh?Hizo ndo bei za kule EXOTIC ambako baharia mwenzetu anaelekezwa. Halafu mkuu huko siyo tu 50 usd kwa nusu saa..... wengine wanataka ukimwita uwe kwenye 5 or 4 star hotel. Kuna mwanamke mmoja anajiuza kwenye site hizo anaitwa something taler hunter ameweka mashart hayo mkuu.
Kwa mabaharia wanonyapiaga huku wakipata vicent vyao wanasema mademu ni visu kwelikweli. Pia kumbuka watalii wengi hiyo ndo mikato yao.Inaonesha wanalipa sana eh?
Lakini tatizo ni used sana hao na sidhani kama mchezo wanauweza kama watoto wa kitanga au wakizaramo.
Unatumia hela nyingi unakutana na demu mpaka unajutia.
Kabisa mkuu....Ndugu yako yule?
Gharama zote hizo. Akafe mbele...
Duh!Extreme case: Huyu bibie anaitangaza Imani badoo.
Sijui mtu anakuwa anajichukulia wa juu kiasi gani kwenda kwenye dating sites na kujaza profile hivi.
Maybe ni reject in real life so anaamua kujifanya sizitaki mbichi hizi mtandaoni ili hata asipokubaliwa huko ajidanganye kuwa its because aliwazuia.View attachment 1199625
Huyo unamfukua mbele na nyumaNiliwai ingia na mtoto mmoja hotelini ..eti anasema hawezi fanya mapenzi, mara sijui kwenye simu maongezi ilikuwa utani
Nika mwambia unagonoka au unaweka 50,000 yangu apa then ikichumba tuache wazi ..nakupa dakika 10 za kufikiri nikatoka na kufunga mlango ahaha nilikuwa mtu yuko kwenye kitaulo[emoji39]
Wanapenda igiza
Extreme case: Huyu bibie anaitangaza Imani badoo.
Sijui mtu anakuwa anajichukulia wa juu kiasi gani kwenda kwenye dating sites na kujaza profile hivi.
Maybe ni reject in real life so anaamua kujifanya sizitaki mbichi hizi mtandaoni ili hata asipokubaliwa huko ajidanganye kuwa its because aliwazuia.View attachment 1199625
Hayo mashauz tu apo ukifika hisabu unabi.nua una.tomba vzr tu.Daah huyu manzi anichekesha sana eti anatangaza imani badoo .namuonaga na baibui lake [emoji23]