Dating sites: Siko Hapa Kudate

ndio ujasiriamali uliamua kuukomalia awamu ya 5?
 
Hivi mapenzi ya hivyo hata raha itakuwepo? Na asingefanya ungemfanya nini?
Hiyo kwangu haina tofauti na kupiga punyeto! Na kama naweza kupiga punyeto for free, why should I pay 50K for something that I can access for free! Ndo siku moja nipo kwenye my dating.app, mdada akani-text eti anaweza kunionesha her nude photos for 10K!! Nikamuuliza why should I pay you to see your nude photos wakati nude photos zimejaa online na gharama ni bundle tu!!! Hakurudi!
 
Nispokuelewa ndo najifanya nataka tuchart mana naanzaje kusema nimekuona haunifai?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee sasa ya kutumiwa ni tofauti babe
 
Huo ujasiri hawezi kuupata kwa wakati huo usha muweka katika pressure so lazima accept deal

Na kama akisema hivyo solution ni kuvaa uso wa kazi unachukua mkoba unacheki , kama hakuna unadhaminisha kitu
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka maana na mimi enzi za ujana nilishawahi kufanya hivi, ila yule hakuniambia tunaenda wapi nilishtukia tu tumefika eneo la tukio
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…