Dating sites: Siko Hapa Kudate

Masulupwete

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
2,366
Reaction score
2,438
Inakuwaje unakutana mtu kwenye dating site/app unajaribu "kueleweka" (kutongoza) kwake.

Yeye anakuambia yuko pale kuongeaongea tu (wenyewe wanaita kuchat) na watu na sio kwa mambo ya kudate (kutongozana).

Wakuu hii kitu imekaaje?

Je ni kweli mtu anaweza kujisajiri kwenye dating site eti ili aongeeongee tu?

Au huu ni ujasiriamali mpya unaolenga kupandisha dau la mtongozwaji.

NB: Wengi wao huko ni single mothers.
 
Nafikiri majibu ya swali hili yangepatikana huko huko, sisi ungetuletea tu majawabu. By the way, ushampata Bi Detwa au bado unatafuta?
 
Izo dating site ni zipii mkuu tukajaribu bahatiii
 
Ni sawa na kuingia chooni halafu ugome kukata gogo au kutoa ndogo
 
Niliwai ingia na mtoto mmoja hotelini ..eti anasema hawezi fanya mapenzi, mara sijui kwenye simu maongezi ilikuwa utani

Nika mwambia unagonoka au unaweka 50,000 yangu apa then ikichumba tuache wazi ..nakupa dakika 10 za kufikiri nikatoka na kufunga mlango ahaha nilikuwa mtu yuko kwenye kitaulo[emoji39]

Wanapenda igiza
 
[emoji23][emoji23]
 
Hivi mapenzi ya hivyo hata raha itakuwepo? Na asingefanya ungemfanya nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…