Dating rules: Who should pay and when

Bibie!
First date mwanaume akilipa siyo mbaya ila kama mnaendelea kuwa wote inapendeza kushirikiana kwenye gharama mbalimbali.
Napenda dizaini ya 'lets go dutch' mnatoka dinner pamoja ila kila mtu anajigharamia. Hapo hamna mchunaji wala mchunajwi!


Belinda, inapendeza sana mwanaume akilipia gharama zote.

Lakini, kuchangia gharama ni makubaliano meaning kwamba mnakubaliana in advance kwamba lets date and share the costs for any prevailing reasons.

Dating pia ni muhimu kwa waliooana au wanaoishi kinyumba. Hivyo basi, inapendeza kutoana sometimes and it does not matter who pays and when.
 
Last edited:
Yes BelindaJacob I like that na mimi pia nakusupport. Ila pia mi naona hata mara moja moja mkipokezana kulipa mnapo toka si mbaya. Mara zingine hata mwanamke anaweza kuoffer kulipa si mbaya. Ladies wake up acheni kutegemea wanaume kwa kila kitu it sucks.
 
Mama nakuunga mkono pia inapendeza mwanaume akilipia lakini saa zingine inakuwa too much hasa utakuta mtu kaja na marafiki zake and the guy has to spend cause ya mila zetu nadhani kama unavyo sema ni vizuri kuelewana na hata kama mnatoka mjue mnatoka na nani ni kiasi kipo cha kuspend. I think ni swala la kuelewana ni vizuri.
 
Mi iwa nachoka demu unampa apointment yeye anakuja na wapambe zaidi ya 2 na bill zote ni juu yako unamgharamia yeye na wapambe.
Utachoka pale demu anapo wahi mapema kufika sehemu husika wkt wewe bado hujafika utaona demu kaagiza maji au soda ukifika wewe tu anabadili kinywaji ataagiza redbull au heineken au bavaria kwa nini asinge agiza kwa pesa yake kabla??Kwa hiyo wao iwa wanatoka na nauli tu.
Mademu wa bongo mfilisi.

LOL...I feel you brother...mi napendekeza madamu anakuja na wenzio wawili na bili yote ni yako basi hata 4-some iwe halali pia kama sio 3-some!
 
na hao rafiki zake anaokuja nao ukitaka wote waweza wapitia
ndiyo mana maambukizi ya ukimwi yako juu bongo
 
mie naona wakati mwingine man alipe kila kitu bwana!nakumbuka wakati ule nikiwa kigori nilikuwa na bfnd mbaye kweli nilikuwa napenda kushare nae bill,nikaja kujua ana mrembo mwingine anaemwita jamaa" buzi" kuanzia wakati huo nilisema nikitoka na man anahucka ku pay bill yote, mana unashare na lim2 likifika kwingine linajitoleaaa tu haaa.
 
Yaani ukiwa na miadi naye basi lazima aje na wenzake kama sio wawili basi watatu(na wanakula bwii hao

Afu hao wapambe anaokuja nao kumsaidia kuchuni, siku wakimpindua na kuamua kumsaidia kucharazwa Kei, lawana zinakuwa wanaume bwana hawafai kumbe mwenyewe kalitafuta zali
 
mie naona wakati mwingine man alipe kila kitu bwana!nakumbuka wakati ule nikiwa kigori nilikuwa na bfnd mbaye kweli nilikuwa napenda kushare nae bill,nikaja kujua ana mrembo mwingine anaemwita jamaa" buzi" kuanzia wakati huo nilisema nikitoka na man anahucka ku pay bill yote, mana unashare na lim2 likifika kwingine linajitoleaaa tu haaa.

nyamayao punguza basi 'hasira' kidogo

mi nadhani bado 'ukogori' unao tu

ila kulipa kwa pamoja ni 'independent' na huyo aliyekuwa BF wako kuwa analipa 'fulu' huko kwingine, ni suala la wakati huo huo

sasa ukihamishia kwa wote utatufanya hata wengine tushindwe kukutoa out kwa nia njema kabisa..LOL
 
Back
Top Bottom