Dating & ndoa

Nafikiri hiyo ya kuficha makucha ni kweli, lakini nahisi ni vigumu kuficha kwa muda mrefu. Ni kama kuigiza, baada ya muda aidha utateleza au utachoka kuigiza, pole pole utaanza kuonesha vitabia vya ajabu. Ndio maana ni vizuri kuchukua muda kidogo kabla ya kuchumbiana na kufunga ndoa. Mtu akiongelea ndoa mara baada ya kukutana tu, kimbia mbali sana.

ndio kujuana ni vzr zaidi kabla ya ndoa lkn kumjua m2 tabia yake hadi ukae nae kwa mda mrefu unapo kua nae ktk mahusiano unaweza usigundue zile tabia zake za ajabu kutokana na kwamba huwa anaficha makucha yake kwanza atimize malengo yake akisha ingia sasa ndo utaona sheshe lake mda haujalishi katika ndoa ni upendo ndo unakua unamata kati yenu hata mwezi mnaweza kuoana
 
Back
Top Bottom