Dating mpopo!

Mimi ndio pacha wake !nikusaidieje
 
Chinekeeeeeeeeeeee! Kama vipi mpe apukuchue ingawa siyo hakikisho la kuolewa.
 

Kabla hujaomba ushauri hapa mchungaji wako au sheikh wako anakufundishaje kuhusu kufunua uchi wako kabla ya ndoa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Huyu bwana ananifahamu kwa takribani miaka minne sasa, he is my jirani. Kwa kweli mimi simjui vizuri maana tulikuwa tunakutana tuu njiani na kusalimiana hello, hello. Yawezekana kweli alitaka mzigo tuu, ila ninacho jiuliza ni kwamba amesha nifanyia mambo mengi tuu mazuri mazuri ambayo kwangu naona nikawaida tuu kwa mwanamme yeyote kumfanyia mwanamke. Sasa baada yakukaza kamba kaamua kuniambia eti tuwe marafiki tuu wa kawaida. Ila nikihitaji masaada wowote nisisite kumuuliza na ninakaribishwa home kwake anytime. Yawezekana yuko sirious ila ndo sijui niendeje nae...ila ku DO!
 

Dada yangu Kaman mpopo night mnigeria imekula kwako iko siku utafutwa n.a. fbi sio chemo chunga sana
 
Thanks kwa hoja zenu, nimeshapata jawabu kula + kuchomoka tuu ndo mpango mzima.:smile-big:
 
Thanks kwa jibu lako zuri kakangu, na ndo maana mimi nachanganyikiwa kama nimpe au la. Mpaka sasa ameshasema ni vyema tuwe tuu marafiki kama zamani. Ila roho inauma maana ntamkosaa:love:



Ukimpa ama usipompa kumkosa lazima hawa wapopo wapo kama wasomali kila walipo wao ni transit tu.
 
Jamani kaka zangu mbona mnakuwa wakali kama mbogo, sin:bored:mekuja kuuliza tuu kama dada yenu! Kwani hampendi mashemeji kutoka nchi zingine? Kuuliza sio ujinga, mwenye nia ya kunisaidia atanisaidia na mawazo.

Mi naona kama humtendei haki jamaa kwa vile kimaumbile lazima ngono ifanyike sasa kaka we ndo mpenzi afu hamfanyi ngono mean akanunue sasa na wewe ujiuze sasa....pia sio ujanja kukataa kufanya ngono kwa mpenzi wako mi mwenyewe mwanamke wa hivyo na piga chini haraka sana
Kingine inasikitisha kuona jamaa kashindwa then anataka kuwa.marafiki nae anaweeknes kwani atakuwa mshika pembe tu.
 
niliposoma mimi ukisema mpopo maana yake ni mnaija (Nigerian!) je na kwenu ni hivyo?
 

Be careful with hao popos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…