Msaada wenu tafadhali wataalamu,simu hii ilikuwa inasapoti whatsapp,lakini nilipoirestore ikawa nikitaka kuidownload inagoma na inasema muda sio sahihi, hivyo niurekebishe kwanza,lakini hata nikirekebisha kisha nidownload bado inasema muda sio sahihi.
Tatizo ni nini ndugu zanguni? maana nimeimiss sana.