Database ya Makampuni 2,0000 inapatikana

Database ya Makampuni 2,0000 inapatikana

cerengeti

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Posts
3,879
Reaction score
1,631
Baada ya kufanya utafiti wa kukufanya taarifa za Makampuni nchini, nimeamua kuwaletea orodha ya Makampuni nchini kwa gharama nafuu. Orodha Ina Makampuni 20000 nchini.

List Ina business name, postal address, Street address, city, postal code, district, region, zone, contact name, title , telephone, fax, mobile number, email, Web address, category.

Napatikana :0767102102 Email: wigotz@gmail.com
 
Kwa uelewa wangu sijui kama nitakuwa nimelenga dhima ya mleta mada ni kwamba, kuna baadhi ya wafanyabiashara au hata mtu binafsi huwa wanafanya biashara na makampuni sasa upande wa mteja anapohisi kupelekwa kinyume na maelewano kutokana na eidha kutoelewa vizuri makubaliano baina yao huwa moja kwa moja mteja anatafuta kujiridhisha na mtu anayefanya nae mikataba ya kazi fulani kama kweli yupo kisheria au ni longo longo za mjini ndipo umuhimu wa hiki kitu hutokea na utajua ni kweli kampuni hii inatambulika kama kampuni na inauwezo wa kuwajibika endapo ubadhilifu wa aina yoyote utokeapo.
 
kw hiyo unataka nini. umeshafungua kampuni yko sio??
mkiitwa nkurunzinza hamtaki
 
Hiyo idea iko poa. Km vile yellow page flan hivi.

Waonaje ikiwa pia na muhtasari wa shughuli za hiyo kampuni?

Je, ukichukua matangazo halafu kutembelea iwe bure ispokua kwa anaetaka taarifa za ndani mfano za performance trends, capitalisation, n.k.?

Kila la heri
 
Ku

Kuna google usitutishe

Unafikiri makampuni ya TZ yana web presence we mjinga? Ambaye anashida na information atanunua. Kama.wewe unauwezo wa.kwenda Google just go to Google haikuhusu hii. Sipendi kweli majitu yanajifanya yanajua kumbe hamna kitu. I wish ungeelewa kwamba TZ information ni majanga. Kila siku hapa watu wanakuja wanulizia kuhisi hoteli za bei rahisi mahali fulani au huduma fulani. Business nyingu hazipo kwenye mtandao. Sasa Google atazi index vipi? Do you even know how Google works?
 
Baada ya kufanya utafiti wa kukufanya taarifa za Makampuni nchini, nimeamua kuwaletea orodha ya Makampuni nchini kwa gharama nafuu. Orodha Ina Makampuni 20000 nchini.

List Ina business name, postal address, Street address, city, postal code, district, region, zone, contact name, title , telephone, fax, mobile number, email, Web address, category.

Napatikana :0767102102 Email: wigotz@gmail.com

mimi binafsi nakupongeza kwa creativity especially ninapoona vijana wenzangu ambao wako creative. big up kaka,keep going usikatishwe tamaa. tunahangaika ajira tatizo kila siku, je hata creativity tu as an alternative to unemployment nalo pia ni tatizo? hapana! we need to wake up guys. ni mtazamo wangu tu huo! good day everybody!
 
Orodha Ina Makampuni 20000 nchini yalioboboa katika sekta mbalimbali za biashara na uchumi.

View attachment 254808

List Ina taarifa zifuatazo:-

1. Jina la kampuni,
2. Anuani ya Makazi,
3. Anuani ya Posta,
4. Mji,
5. Postakodi,
6. Wilaya,
7. Mkoa,
8. Kanda,
9. Taifa
10. Jina la Mhusika
11. Namba ya Simu,
12. Namba ya Nukushi (Fax),
13. Cheo cha Mhusika,
14. email,
15. Tovuti,
16. Sekta,

Ipo katika CD, pdf, excel, CVS format.

Inapatikana kwa gharama nafuu,

:0767102102, 0655 308308
Email: wigotz@gmail.com

whatsapp : 0767102102
gplus: wigotz
 
Mtaalamu hiyo sample nimeipenda kwa kweli sema tatizo hujaweka bei,,maana gharama nafuu inategemea na mtu ukisema bei hata kwa PM itakua vizuri sana ...
 
Hiyo idea iko poa. Km vile yellow page flan hivi.

Waonaje ikiwa pia na muhtasari wa shughuli za hiyo kampuni?

Je, ukichukua matangazo halafu kutembelea iwe bure ispokua kwa anaetaka taarifa za ndani mfano za performance trends, capitalisation, n.k.?

Kila la heri

excellent, kama ulikowapo vile.
 
Back
Top Bottom