Database proficiency course

Corluka Neven

JF-Expert Member
Apr 26, 2017
300
276
Habarii!!hivi hakuna chuo chengine cha bei nafuu kama Veta Ada 150,000 kwa week mbili??mdogo wangu anataka kusoma hii kozi ya Database??ameenda veta wamemwambia mpka wawe wawili Ndio atafundishwa?vinginevyo Adabo ili iwe 300000??Msaada kwa anaejua chuo chingine kinachotoa hii kozi kwa muda mfupi!??
 
Vyuo ni hivi hapa...

1. Youtube (free).

2. Udemy (12usd per course).

Hivi ni moja kati ya vyuo bora kabisa kuwahi tokea katika ulimwengu wa IT.

Kila la heri.
 
Habarii!!hivi hakuna chuo chengine cha bei nafuu kama Veta Ada 150,000 kwa week mbili??mdogo wangu anataka kusoma hii kozi ya Database??ameenda veta wamemwambia mpka wawe wawili Ndio atafundishwa?vinginevyo Adabo ili iwe 300000??Msaada kwa anaejua chuo chingine kinachotoa hii kozi kwa muda mfupi!??
kawaida hiyo uwezi tumia muda kufundisha mtu mmoja kwa kilo na nusu
 
Back
Top Bottom