Database ni msingi kabla kabla hujakimbilia Programming

mbonji monga

Member
Mar 23, 2020
69
138
Tuwe wawazi, nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana namna watu wanavyoeleza juu ya kujifunza programming.

Ushauri kwa beginner yeyote yule::=anza kujifunza DATABASE(nipo tayari kutoa msaada kwa yeyote anayetaka kuaza), tofauti na hapo ni ubakaji.

Sikatai kabisa kuwa unaweza kimbilia python, java, C language n.k. Kumbuka hayatakuwa maandalizi mazuri ya programming bali utakuwa ni ubakaji.Anza na database ndani ya miezi mitatu utakuwa umeelewa vizuri kuhusu database, na coding (somewhat).

ANGALIZO::= Ukifika kwenye SQL chukua PC yako tafuta mtu karibu nawe anza practice(create table, insert, update, delete, n.k)

Vitabu::kuna kitabu kimoja ni kizuri sana>>>> APPLIED MATHEMATICS FOR DATABASE PROFESSIONALS, kinauzwa online waweza pata chako(soft/hard copy)
 
Tuwe wawazi, nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana namna watu wanavyoeleza juu ya kujifunza programming.
Ushauri kwa beginner yeyote yule::=anza kujifunza DATABASE(nipo tayari kutoa msaada kwa yeyote anayetaka kuaza), tofauti na hapo ni ubakaji. Sikatai kabisa kuwa unaweza kimbilia python, java, C language n.k. Kumbuka hayatakuwa maandalizi mazuri ya programming bali utakuwa ni ubakaji.Anza na database ndani ya miezi mitatu utakuwa umeelewa vizuri kuhusu database, na coding (somewhat). ANGALIZO::= Ukifika kwenye SQL chukua PC yako tafuta mtu karibu nawe anza practice(create table, insert, update, delete, n.k)

Upupu fln hivi.
 
Kwanini vyuoni wanaanza na introduction to programming course, na si introduction to database Kisha wanakuleta kwenye C/C++ then Java baadae sana after web content design and development wanakupa Database hii formula ni nzuri vyuoni, kwa kuwa inamfanya mtu aelewe anachokifanya lakini hakuna formula inayolazimisha kuwa uanze na hiki kisha kile.
Kwa kuwa Database hutumika katika maeneo kadhaa si kila kitu kitataka Database kwa muktadha unaozungumzia.

NB. umetoa wapi huu ushauri nikaufute.
 
Back
Top Bottom