Database administrator please visit here!!

Database administrator please visit here!!

Investaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
913
Reaction score
923
Hi once again database administrators i need help to solve this problems

upload_2016-11-24_18-38-54.png
 
Weka maelezo vizuri kusaport picha yako

Nataka ni display matokeo kwenye page kwa masomo yote kwa darasa mf. phys,chem,maths... inipe na total na avg kama table inavyoonekana kwenye phpmyadmin
 
Mi sijaelewa hapo na picha haionekani vizuri, weka swali vizur
Kama unaona kwenye phpmyadmin pale kwenye courseid kuna masomo zaid ya moja geo,kisw,hist... nataka iwe kwenye mfumo wa rows kutoka kwenye columns kama inavyooneka kwenye picha hapo juu
 
Kama unaona kwenye phpmyadmin pale kwenye courseid kuna masomo zaid ya moja geo,kisw,hist... nataka iwe kwenye mfumo wa rows kutoka kwenye columns kama inavyooneka kwenye picha hapo juu

Yani unataka uandike query ambayo itakupa result marks za kila somo Kwa kila mwanafunzi ziwe Kwenye rows Pamoja na average Yake?

Hiyo Mbona ngumu unless ufanye restructuring ya table yako. Hapo unaweza kupata result ya average ya mwanafunzi mmoja mmoja. Ingekuwa MS SQL ungeweza kuandika stored procedure au joins za kufa mtu.

Anyways ngoja wataalamu zaidi waje maana huwa naamini hamna kinacho shindikana chini ya jua
 
Hiyo inawezekana ndugu sio ngumu sana lakini kwa kutumia triger concept.
 
Hii problem nilishasolve sio ya leo au jana ni siku mingi. Polen ila mnaweza mkaja na another solutions
 
Hii problem nilishasolve sio ya leo au jana ni siku mingi. Polen ila mnaweza mkaja na another solutions
Sabab ulikuja kuomba msaada, ingekuwa vizuri pia kama ungeonyesha solution yako hapa, for reference ya mwingine yeyote atakayekuwa na tatizo kama lako.
 
Hapo unahitaji kustructure table yako upya, create new table, weka hizo columns za masomo yote, default hata zero, then tumia programming language yoyote, fanya query then update kila column.

from table 1 - chukua stid, courseid, marks;
weka loop ya kuchukua results zote zitakazokua zimerudi, then tuma update query
into table 2 - update column ya courseid mfano GEO kama current result yako ni geo, set marks ambapo stid ni sawa na current stid.

Done, mysql ina looping na vitu kama hivo ila complicated, i'd rather handle hii kwa kutumia programming language tu ambayo nimezoea.

Kama ni results nyingi sana kiasi kwamba you can't load all them in RAM, fanya in batch, query huku unaweka OFFSET.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom