DA HUSTLA JF-Expert Member Joined Mar 5, 2012 Posts 3,930 Reaction score 4,280 May 1, 2022 #1 Habari za jioni wakali wa tech, Week iliyopita wife ame flash techno camon 11 baada ya kusahau password. Nawezaje kuzipata data zote, maana alikua anazitunza kwenye phone memory moja kwa moja, Note: Ameshaanza kuitumia hiyo simu tena.
Habari za jioni wakali wa tech, Week iliyopita wife ame flash techno camon 11 baada ya kusahau password. Nawezaje kuzipata data zote, maana alikua anazitunza kwenye phone memory moja kwa moja, Note: Ameshaanza kuitumia hiyo simu tena.
saci JF-Expert Member Joined Mar 4, 2014 Posts 246 Reaction score 402 May 1, 2022 #2 Nadhani hutazipata tena maana ukiflash simu unaandika file jipya.
Igombe fisherman JF-Expert Member Joined Apr 28, 2017 Posts 2,267 Reaction score 4,062 May 1, 2022 #3 Kuflash simu haina tofauti na kupoteza simu kisha ukanunua mpya ya aina kama iliyopotea. Sasa aijui kama kuna utakachopata kutoka kwenye simu iliyopotea Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kuflash simu haina tofauti na kupoteza simu kisha ukanunua mpya ya aina kama iliyopotea. Sasa aijui kama kuna utakachopata kutoka kwenye simu iliyopotea Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Bwana Fulani JF-Expert Member Joined Mar 25, 2019 Posts 656 Reaction score 3,386 May 1, 2022 #4 Foger abaurit
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,210 Reaction score 37,866 May 1, 2022 #5 Naona mkuu wewe na mke mko Ni Kama pipa na mfuniko,wote ni wataalam wa kusahau p/word
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 37,142 Reaction score 49,875 May 1, 2022 #6 wa kupuliza said: Naona mkuu wewe na mke mko Ni Kama pipa na mfuniko,wote ni wataalam wa kusahau p/word View attachment 2207199 Click to expand... Teh teh teh teh teh....😂😂...hii ndio JF ?
wa kupuliza said: Naona mkuu wewe na mke mko Ni Kama pipa na mfuniko,wote ni wataalam wa kusahau p/word View attachment 2207199 Click to expand... Teh teh teh teh teh....😂😂...hii ndio JF ?