Data za Nyamongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Data za Nyamongo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Prophet, Jun 23, 2011.

 1. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa mwezi yanazalishwa matofali 38 au 40.

  kila tofali lina uzito wa kilo 26.

  kulipa mishahara ya wafanyakazi na kodi zote linatumika tofali 1.

  barric wanaongoza kwa uzalishaji Afrika. Linganisha na hali za wananchi wa Tanzania.

  chakachua akili, pima, jiulize.


  source: classified.
   
Loading...