LIFO, FIFO. ILA BADO SIJAJUA REal application ya aligarithm and data structure. Nahic ATM
mkuu samahani kidogo unaweza nipa notes za ukweli nipate maarifa toshaKama huna idea mkuu hua ni vizuri kutojibu maana unaweza potosha watu humu wakaenda kukomaa na vitu ambavyo si sahihi. Japo umebahatisha kugusia stack kidogo.
mkuu samahani kidogo unaweza nipa notes za ukweli nipate maarifa tosha
Data structures and Algorithms za level ipi? undergrad, postgrad?
Notes za Data Structures na Algorithms?
Mimi sijasomea sehemu moja, nimesoma sources nyingi tofauti tofauti nyingine hata sikumbuki, kwa kuanzia lakini ni vizuri ukapitia hiki kitabu cha Data Structures kinapatikana kwenye hii link bure kabisa Data Structures and Algorithm Analysis hicho ndicho nakumbuka nilitumia chuoni, chagua kama ni Java au C++ latest version komaa nacho, nimepitia naona hakuna kitu cha kuruka pale, soma chote tu coz kila point ni ya muhimu, sehemu nyingine unaweza usizielewe kama hauko vizuri kihesabu lakini zisikukatishe tamaa, unavozidi kwenda utazidi kuzielewa mbele kwa mbele. Ila kuanzia I.3 - Analysis of algorithms, hakikisha pale huvuki kama hujaelewa concept.
Ukielewa hicho kitabu vizuri nina uhakika utakua unaweza kupewa tatizo ukafikiria datastructure ipi inafaa kulisolve efficiently. Ukimaliza kipo kingine kwa ajili ya Algorithms kitabu famous sana "Introduction to Algorithms by Thomas H.Cormen" chenyewe ni advanced kwa hiyo hakikisha cha kwanza kimekaa kichwani vizuri la si hivyo hiki cha pili unaweza usipate kitu. Mambo yakikusumbua unaona huelewi waweza ingia Youtube ukaandika kilichokushinda nina uhakika utakutana na video ya mtu anaelekeza au ukipigwa chenga waweza uliza humu tutakujibu.
Mwisho nakushauri ukisoma kitu fulani hakikisha unacode kwenye language unayotumia, run it hakikisha kweli its operational sio kuangalia code alafu ukasema umeelewa ukaendelea mbele, unless una photographic memory na very high iq.
Sorry Unaweza nielezea in simple way the concept of BIG O NOTATION i find hard tu understand na inanipa wakati mgumu kuendelea na binary Search problems!!Notes za Data Structures na Algorithms?
Mimi sijasomea sehemu moja, nimesoma sources nyingi tofauti tofauti nyingine hata sikumbuki, kwa kuanzia lakini ni vizuri ukapitia hiki kitabu cha Data Structures kinapatikana kwenye hii link bure kabisa Data Structures and Algorithm Analysis hicho ndicho nakumbuka nilitumia chuoni, chagua kama ni Java au C++ latest version komaa nacho, nimepitia naona hakuna kitu cha kuruka pale, soma chote tu coz kila point ni ya muhimu, sehemu nyingine unaweza usizielewe kama hauko vizuri kihesabu lakini zisikukatishe tamaa, unavozidi kwenda utazidi kuzielewa mbele kwa mbele. Ila kuanzia I.3 - Analysis of algorithms, hakikisha pale huvuki kama hujaelewa concept.
Ukielewa hicho kitabu vizuri nina uhakika utakua unaweza kupewa tatizo ukafikiria datastructure ipi inafaa kulisolve efficiently. Ukimaliza kipo kingine kwa ajili ya Algorithms kitabu famous sana "Introduction to Algorithms by Thomas H.Cormen" chenyewe ni advanced kwa hiyo hakikisha cha kwanza kimekaa kichwani vizuri la si hivyo hiki cha pili unaweza usipate kitu. Mambo yakikusumbua unaona huelewi waweza ingia Youtube ukaandika kilichokushinda nina uhakika utakutana na video ya mtu anaelekeza au ukipigwa chenga waweza uliza humu tutakujibu.
Mwisho nakushauri ukisoma kitu fulani hakikisha unacode kwenye language unayotumia, run it hakikisha kweli its operational sio kuangalia code alafu ukasema umeelewa ukaendelea mbele, unless una photographic memory na very high iq.
Sorry Unaweza nielezea in simple way the concept of BIG O NOTATION i find hard tu understand na inanipa wakati mgumu kuendelea na binary Search problems!!
Mkuu nadhani Graph kaelezea vizuri sana hapo juu, unless kama hujamuelewa naweza elezea zaidi.Sorry Unaweza nielezea in simple way the concept of BIG O NOTATION i find hard tu understand na inanipa wakati mgumu kuendelea na binary Search problems!!