Data kuwaka bila kufanya kazi

Sawa na 3g lakini mtandao haujasoma fuata haya maelezo
 
nenda setting then bonyeza mobile networks then njoo hapa [emoji116] bonyeza hapo kwenye laini ya tigo namna hii[emoji116] then jaza hiyo namna hiyo data kama inavyojionesha ili kuweka sawa bonyeza hapo add uweze kufanya setup then bonyeza save tyr itafanya kazi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…