Data analyssis, monitoring and evaluation course

Mr II

Senior Member
Joined
Feb 19, 2009
Posts
158
Reaction score
17
Taasisi ya Tanzania Global Learning agency (TAGLA) wataendesha course ya data analysis, Monitoring and Evaluation (M&E) huko Arusha, Tanzania kuanzia tarehe 23-28,November 2015. Katika kozi hii utajifunza namna ya kuandaa takwimu,kutathmini kwa kutumia program ya excel na SPSS na utapewa program ya SPSS kwenye kompyuta yako, utajifunza namna ya kufuatilia (monitoring) na kutathmini (evaluation) miradi yako au taasisi yako. pia utajifunza namna ya kujitathmini maisha yako wewe mwenyewe, afya na malengo yako pia.

Pia mwanafunzi atajifunza namna ya kutengeneza viashiria (indicators) vya miradi na malengo (goals), na shabaha(target) mbalimbali za miradi.Warsha au course hii inawafaa wanafunzi au watu wanaopenda kupata taaluma mpya kwani M&E ni taaluma mpya ambayo ina wanataaluma wachache hapa nchini na jumuia ya EAC,hivyo ni rahisi kuapata ajira kwenye taasisi mbalimbali za ndani na za kimataifa, pia inawafaa wanataaluma mbalimbali wanaosimamia miradi kwenye taasisi zao. Baada ya kumaliza mafunzo mwnafunzi atapewa cheti cha kumaliza mafunzo pia. Kwa maelezo zaidi wasiliana na manager wa mafunzo Mr. Dickson mwanyika kwa sim namba 0786000020 au Mr. Mbilinyi kwa simu 0756 514 644/715 514 644/689 417 472.
 
Wish mje na dar pia...
 
Asante Tutawajuza. Lakini kama kuna wengi watapenda hapa Dar Wanaweza kuwasiliana na Tanzania Global Learning agency (TAGLA) kwa namba 0786000020. Pia kama wengi watapenda tutaweza kuandaa hapa Dar Pia. Karibu
 
Asante sana .
Pia ningeomba kuuliza kama mnafundisha na analysis tool moja inatwa ACL? (audit command language)
kwaninaona sehemu nyingine wanahitaji watu wanaofanya analysis kwa kutumia tool hiyo..
 
Mm pia nahitaji sana kozi hii unaweza kuniambia gharama yake.ni bei gani
 
Vipi gharama ya hii course?na vipi kwa waliopo dar?
 
hizi kozi tunahitaji wengi kwa dsm wajipange tuanze kusoma, kuzingatia muda amabao si wakazi ni vzr sana.
 
Back
Top Bottom