Habari zenu wana jamvi nilikuwa natafuta software ambayo naweza ku make call wakati nimeweka line yangu kwenye modem, katika kutafuta nimekuta na hii kitu Beetel connection Manager, Ila kila nikijaribu piga simu inaniletea dialing fail try again. mimi natumia modem ya HSUPA USB Stick, model MF 190. Msaada tafadhari.