VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Kwenye barabara za mabasi ya kwenda kasi,chini ya mradi wa DART,sampuli za mabasi hayo yenye rangi ya bluu inarandaranda kwa mfano wa kupiga jaramba. DART imepamba moto kuanza. Mabasi yanatoka uelekeo wa
Mashariki kwenda Magharibi na kurudi. Ni wazi mradi utaanza punde.
Katika mabasi hayo ambayo yote yamesajiliwa kwa nambari T...D..,kunachomoza herufi tatu nyekundu za UDA zilizounganishwa kiustadi na jina DART. UDA is in the house. Wale walioshindwa na kuuza shirika kwa akina Kisena,wameaminiwa tena.
Nimeamini DART ni mradi wa watu binafsi katika barabara ya umma. Another film, another episode!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam