mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,614
- 105,527
MABASI KWANZA HAYANA MUDA RASMISitafuti ligi, inajulikana kweli mradi una matatitizo lakini suluhu ni nini?
Matatizo yakijadiliwa na ushauri huwa inakua changamoto zinazotekelezeka zaidi ya malalamiko na lawama zisizo na suluhu
UNAWEZA SUBIRIA BASI HATA MASAA MAWILI,
MABASI YANAJA SANA UKIWA NDANI WAKATI WA KUSHUKA INABIDI UTUMIE NGUVU HASWA
NA KUJAZA KULE NDANI NI MWENDO WA KUIBIANA NA KUBAMBIANA+MAGONJWA JUU
KUAMBUKIZANA
MADEREVA WAJEURI WAKATI MWINGINE HADI WANAWAPITISHA WATU VITUONI
UDART HAWANA HUDUMA NZURI KWA WATEJA
hayo machache tu ambayo yanamlenga msafiri wa kawaida anayetumia usafiri huo
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app