Dark days 17/03/20



Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Ondoa neno uraisi weka UCEO hapo!!!
 
Unakosea kunitukana mkuu.
kwanini usitukanwe wewe buyobe? wakati umechanganyikiwa/ zuzu (Inferior Complex) huwezi si unaacha?
tulia na uisome riwaya mwenzako anatumia muda na akili kuchambua unasema ame-copy mahali na kuja kupaste humu.
Riwaya haijaisha ndio watu wanamchambua Branch Manager alivyomkolimxa assistant wa mr new culture, bado kuna Mr Bright (unga kichwani) kuna Diplomatic ndugu na Mr born town na wengine kibao wewe unasema yoga ka-copy
 
Kuna maeneo sababu ya ukongwe wetu humu JF na baadhi story unaweza kufikiri umekosea kumbe ndio maborntown husema " kupoteza maboya"
 
Imeisha au inaendelea mkuu?
 
Kuna maeneo sababu ya ukongwe wetu humu JF na baadhi story unaweza kufikiri umekosea kumbe ndio maborntown husema " kupoteza maboya"
Hasa hiyo ya "The Rise of Branch manager".

Kisha baada ya late CEO kuondoka wanabodi na wanahisa wote wanashindwa kumfanya lolote.

Nae na wale watu wake 14 na wengine wampatia dondoo kila kukicha.

Akiangusha vitu twitter watu mihemko huku na kule.

Kuna connection kubwa sana ya Old Branch manager na new CEO ila wengi hawaelewi au wapuuzia tu.
 
Daaah..kwahiyo ndio story za phD zikaishia hapo..mr bright naye kapotea ulingoni.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…