Dark days 17/03/20

Be blessed! Tunaisubiri kwa hamu...bila shaka huyo alokopi nae atapata muendelezo nasikia ameishia ulipoishia!!
 
Haya tunasubiri uweke kitu HUMU tusome!!tupo arosto KABISA!!!
 
Si faza wao alishasema mama yao alikwishafariki au?
 
Wataalam wapo wengi tu, ila hakuwa na utu.

Alidhalilisha wataalam wa maabara pale national laboratory kuwa wanapima mapapai na mbuzi.

Ingekuwa ngumu kubaki aendelee kudharau wataalam.

Kafa tuna uhuru Sasa.

Mrisho mpoto alikuwa na tangazo lake kuwa huruhusiwi ku like au kukoments kwenye mitandao.

Hii nchi tulikuwa kifungoni
 
Mwenye visima si mtoto wake wa kumzaa kwa huyo mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…