Dark days 17/03/20

Nimekuelewa mkuu huwenda ikawa Ni mkakati maalumu mnk wengine waliomba msamaha Hadi barabarani wkt CEO anapita kujidani ktk kampeni yake nakumbuka makamu mwenyekiti wa sas huku kwao Arusha aliomba msamaha sna San mbele ya CEO

So naanza kuhisi pengine labda Ni mkakata mahusuzi tu
 
He oppened his eyes, he looked tired, He tried to waved his left hand, it was kama anataka kusema nao neno but alikuwa hawezi!! His wife came close and hold his left hand, his son and doughter also came and stood behind their mother! They both in tears, watching their very sick father! then slowly He closed his eyes!

A moment of silence ....................

the machine stoped bping!! Daktari na manesi haraka wakaingia, wakawatoa nje mama na watoto, walijaribu kufanya evrything they can but the CEO WAS NO MORE the suffering came to an end!



(
Pendael24 Hii scene imenisikitisha dahh!!!!
)
 
Usiizingatie sana lakini?
 
BIBI UMEIBUKA PANGONI apo kwanza nichekeeee!

sie wenzio tunaona raha kusoma kwa mafumbo hivyo! we nenda jukwaa la mapishi
 
Kuna kipande kingine hajakisimulia, kinaumiza kuliko hiki, hicho kipande ni cha old CEO alivyoenda kumuona. Akazuiliwa akauliza hata mimi? Akajibuwa ndio hata wewe huruhusiwi kuingia. Na kweli hakuingia. Kati ya watu waliondoka duniani na maumuvu makali ni the late CEO.
Kilichokuwa kikimuumiza zaidi sio alichofanyiwa, ni jinsi mchezo ulivyochezwa bila yeye kujua kajakujua ashachelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…