Dark days 17/03/20

Tumekuacha mbali sana mkuu huelewi chochote [emoji1]
 
Hujaelewa kitu
 
Baba yako pia alilazwa kwenye mitungi ya gesi pale mzena kipindi cha corona?
Jambo usilojua mpunguze ujuaji? Mtu unakomalia eti cycle ya New CEO ilimalizwa yote whilst Vifo vilikuepo all over the company kuanzia kitengo Cha Elimu mpaka kitengo Cha biashara!! Then Una isolate case ya senior officials wa company kwamba walikua targeted wao pekee?

Illogical reasoning
 

Tunga hadithi yako, hujakatazwa kuanzisha uzi wako. Unabishaaaa kama vile umetajwa zitto junior na kuitwa kwenye hadithi hii tunayosoma kujiburudisha. Huko uliposema unaandika sijui nini, rudi huko wengine tunakusoma kwa mara ya kwanza kwenye huu uzi

Acha wivu, kubali hujui kuandika hadithi za kuvutia kama hii.
 
Acha kukopi uandishi wa watu, atleast ungemtaja author basi🙁
 
Unaumia nini!!??? Acha watu waamini wanachokiamini nawe baki na unachoamini. Binafsi nasoma kama stori tu ya kujiburudisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…